Nimeomba TMO ila barua ni CMO

Nimeomba TMO ila barua ni CMO

Mr njaa

Senior Member
Joined
Feb 3, 2022
Posts
166
Reaction score
126
Habar ndugu,

Hizi kazi sijui Zina nn sijawah kukosea Ila Leo yamenikuta nimeomba Tax management Officer 11 lakin barua niliandaa kwa ajili ya Customs Management officer 11

Mwanzo nilipanga kuomba CMO lkn nikabadilisha upepo na kupanga kuomba TMO na ndio hvo nimeomba TMO kwa. Barua ya CMO

Naombeni ushauri kabla ya deadline WAKUU WA JAMII FORUM REPUBLIC

Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
 
Kaka kuwa makini sana izi mambo ndo unakuja tetemeka kweny oral punguza wasiwasi mistake ndogo zinacost sana
 
Unaruhusiwa kubadili barua kabla ya deadline. Fanya hivyo chap
 
Hapo si kuna kipengele cha ku edit, unapaswa ku edit na kuweka barua yenye post husika, rekebisha kabla ya deadline kiongozi, hiyo kesi ndogo sana jombaa
 
Habar ndugu,

Hizi kazi sijui Zina nn sijawah kukosea Ila Leo yamenikuta nimeomba Tax management Officer 11 lakin barua niliandaa kwa ajili ya Customs Management officer 11

Mwanzo nilipanga kuomba CMO lkn nikabadilisha upepo na kupanga kuomba TMO na ndio hvo nimeomba TMO kwa. Barua ya CMO

Naombeni ushauri kabla ya deadline WAKUU WA JAMII FORUM REPUBLIC

Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
Hauko serious, nashauri hata hao TRA wasikupe kazi maana utakua mzigo kwa taifa.
 
Habar ndugu,

Hizi kazi sijui Zina nn sijawah kukosea Ila Leo yamenikuta nimeomba Tax management Officer 11 lakin barua niliandaa kwa ajili ya Customs Management officer 11

Mwanzo nilipanga kuomba CMO lkn nikabadilisha upepo na kupanga kuomba TMO na ndio hvo nimeomba TMO kwa. Barua ya CMO

Naombeni ushauri kabla ya deadline WAKUU WA JAMII FORUM REPUBLIC

Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
Pata kazi kwanza acha utoto... Utaomba recategorization mbeleni huko.
 
Back
Top Bottom