Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Jikaze bwana usiwe akili za namna hiyo,keanza ondoa akilini kwamba ulishafuma msg za wanawake kwenye simu yake,jieshimu ,tatu wee ni mke wa mtu fikiria hakuna siri ya watu wawili duniani na elewa kwamba wanaume ku cheat ni jambo l kawaida lakini s kwa mwanamke tumeumbwa hivyo
 
Kwa hiyo amuache huyo mshkaji ila akachapwe na mwingine. Huyo mwingine hatokuwa shetani?

Nadhani akipata wa mbali na ofisin atakuwa malaika si unajua malaika hawaonekana bwashee na wanakaa mbali?
 
Dahh hataree, jamaa lazima atapigiwa tu wife dahh so painful, shetani limeshashika hatamu.

Usisahau kuleta mrejesho baada ya game.
 
Ukishakuwa mke wa mtu inamaanisha ukimegwa na mwingine kinachofuata ni kuachwa. Siamini kama uliolewa na Mumeo ukiwa huna feelings zozote kwake. Siamini kama wakati unaoelewa hukuvutiwa na mumeo. Naamini alikuvutia na alikuwa pia na Feelings Juu yake hadi kukubali kuolewa naye. Hizi feelings Juu ya huyu zinatoka wapi?

Kuna wakati unaweza ukawa unaishi kama malaika katika sehemu ambayo unakosa kitu kidogo. Lakini ukakubali kujiondoa kwenye umalaika huo kwa sababu ya udogo wa kitu unachokosa. UkaKifuata uliulichokiamini kimekamilika.. Lakini unapoingia na ukakuta ulichokiwaza sicho ulichokikuta, nani atakuwa mpuuZi?
 
Baki na mumeo unachotakiwa kuwa nacho ni "SUBRA"
hakuna zaidi, Wanaume ndio sisi kwakweli huyo jamaa anataka Mapenzi tena ya muda mfupi. Sasa ukitaka kusadikisha hilo dai talaka (mfano) halafu uwone jamaa atakuowa yeye, hakika hatokuwa na muda kwako na mumeo ashakuacha..... Hapo sasa itabaki Ningejua...Ningejua teleeee
 
Acha naye , kwanza hiyo ni technics ya kukutafuna then kama utamuona ana care tena unacheza na sisi wanaume. Muombe mungu ambadilishe na msukume muwe mna enda wote kwenye ibada.Ila usije vua chupi yako tena kwa Staff mwenzako na reputation yako ofisin itaaribika UMESIKIA!
 
Kumbe ndo unachonifanyia? Subr talaka yako! Mm sikuflahsh? Wanawake wengne ni mashetani! Kusanya kila kilichochako uhamie kwa huyo usotaka kumpoteza! Mfyuuuuuuuuu!
 
..nikikudaka nitakuacha siku hiyo hiyo,..
 
Pole sana, usifanye hivyo pls hasa ukizingatia jamaa yupo karibu utapoyteza ndoa take it from me.
 
Una Elimu gani? Kwani hili nalo linahitaji Degree kulielewa? Acheni tamaa za kipuuzi! Kama unampenda jamaa basi achana na mumeo Kwanzaa, shit!!!!!
 
Reactions: SDG
Usijitese Kwa jambo ambalo linawezekana cha msingi mfanye siri, Kwa nini ujinyime kitu roho inatamani utajitesa bure, nakushauri mkubalie hautajuta, mbona mume wako anafanya. Hayo Mambo hayakwepeki kwenye dunia ya sasa
Sikatai kwamba binadamu tuna utashi usio fanana ila nina uhakika ushauri wako ni wa kutaabisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…