K kiolesia Member Joined Oct 19, 2012 Posts 7 Reaction score 0 Nov 8, 2012 #81 Bujibuji, you are so honest. Lakini, umeokota? au imesahaulika kwenye gari yako? Hata hivyo hongera kwa kuwa mwaminifu.
Bujibuji, you are so honest. Lakini, umeokota? au imesahaulika kwenye gari yako? Hata hivyo hongera kwa kuwa mwaminifu.
K kiolesia Member Joined Oct 19, 2012 Posts 7 Reaction score 0 Nov 8, 2012 #82 Wema wote ulioutenda kwa kuwa mwaminifu, umeuchafua kwa kuwakashifu WANAWAKE wa JF. Kwa maana nyingine kwako wewe JF ni sehemu ya wanawake wazinzi. Umewadhalilisha sana, omba msamaha kwani wengine humu ni Mama zako.
Wema wote ulioutenda kwa kuwa mwaminifu, umeuchafua kwa kuwakashifu WANAWAKE wa JF. Kwa maana nyingine kwako wewe JF ni sehemu ya wanawake wazinzi. Umewadhalilisha sana, omba msamaha kwani wengine humu ni Mama zako.
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 62,262 Reaction score 111,235 Nov 8, 2012 #83 Aisee watu wanamikwara humu.
Masanilo Platinum Member Joined Oct 2, 2007 Posts 22,282 Reaction score 4,556 Nov 8, 2012 #84 Bujibuji said: Hakuwa binti, ni mtu wa makamo, kama 40 yrs hivi Click to expand... Hao ndo watamu hawanuki shombo ya utoto
Bujibuji said: Hakuwa binti, ni mtu wa makamo, kama 40 yrs hivi Click to expand... Hao ndo watamu hawanuki shombo ya utoto
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,663 Reaction score 167,585 Nov 8, 2012 Thread starter #85 Wozoza said: Hao ndo watamu hawanuki shombo ya utoto Click to expand... Nilikuwa naamanishwa ni MWANAMUME
Wozoza said: Hao ndo watamu hawanuki shombo ya utoto Click to expand... Nilikuwa naamanishwa ni MWANAMUME
Duduwasha JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 5,701 Reaction score 3,664 Nov 8, 2012 #86 Wozoza said: Hao ndo watamu hawanuki shombo ya utoto Click to expand... oi mkuu naona hujaelewa Somo