dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,680
- 18,583
- Thread starter
- #21
Hili nida walitambue. KbsaaKuna umuhimu mkubwa vitambulisho viwe na contact ya muhusika

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hili nida walitambue. KbsaaKuna umuhimu mkubwa vitambulisho viwe na contact ya muhusika

Atapata Ajira ya muda ya kusaidia upelelezi bila hata ya interviewKatoe kwanza taarifa kituo cha polisi
Njoo jeshini huku ihumwaWrite your reply...Ni ndugu yangu huyo naomba mawasilian yako pm tujue tunakipataje mkuu
Mungu akubaariki kwa wema wakoPeleka polisi man. Niliokota wallet ina IDs kibao za mtu mmoja, nikaona ya ofisini kwake DIT. Hapo nimeokota Chang'ombe kule.
Kwakua nilikua na trip ya posta iyo siku, nikajifanya mwema nikaenda nacho DIT walinzi nikawavuka bila kuwaambia ila nilivoenda mapokezi nikawaambia. Nikawekwa sehemu akaja HR nikawa naongea nae.
Aisee kumbe jamaa alivamiwa jana yake alivokua anarudi kutoka kazini. Kaibiwa ibiwa ye yupo hospital.
Sema HR alikua muelewa, ila nikaacha taarifa zangu. Owner alikuja akanitafuta akiwa na polisi aone kama atanitambua ni moja ya watu niliomuattack, alivoniona tu akasema hapana uyu mrefu sana walikua wafupi. Nikasema dah. Wema huu.
Kwanza nakitupa na mm Mambo ya police mm huwa sitaki kusikiaa kbsaaMawasiliano ya nini bana, aende polisi, halafu aje hapa aseme amepeleka kituo fulani.
ExactlyKuna umuhimu mkubwa vitambulisho viwe na contact ya muhusika
Kbsaa aiseesiwez kwenda humo mm au nikitupe kbsaa sitaki ujinga mmChukua angalizo wakati unakipeleka hicho kitambulisho Polisi ,hao jamaa hawana dogo wanaweza wakakuambia uisaidie polisi kidogo....Peleka Serikali za mitaa /ofisi za mtendaji.
Wewe unawajua Polisi wa 'sisipii'?Kitendo cha kukipeleka kitambulisho chake kinatosha kabisa kuonyesha hujui chochote wala hujahusika hakuna muhalifu atakae mdhuru mtu na akapeleke kitambulisho chake polisi au kwenye ofisi yake
Rb ni kwaajili ukimuona utoe taarifa kwa mpelelezi maana kila kesi ina mpelelezi wakeWewe unawajua Polisi wa 'sisipi'?
unaenda kutoa taarifa jamaa kakupiga wanakupa RB unkamlete
anaweza kupeleka pale Raidio Irangi FM watangaze piaSasa anakufikiaje km hujaweka mawasiliano?
Mm nimewhakitupa kuleanaweza kupeleka pale Raidio Irangi FM watangaze pia
una mtupa mTanzania mwenzako 🐒
Kwanza nakitupa na mm Mambo ya police mm huwa sitaki kusikiaa kbsaa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hii nchi unadreams za kua Dkt unaishia kushika chaki.Mtu mrefu sasa hivi ungekuwa unacheza kikapu Segedansi...
Ndio nadhani wangeweka mfumo huo na kama mtu akibadili namba ya simu, kuwe na namna labda kuona namba za simu za muhusika kupitia namba ya NIDA kwenye mfumo wa NIDA.Kuna umuhimu mkubwa vitambulisho viwe na contact ya muhusika