Nimeokota dodo, Zero IQ akae kwanza uwanja ni wangu

Nimeokota dodo, Zero IQ akae kwanza uwanja ni wangu

Hapo unajiona kama wewe ndio wakwanza kwake, na kuendeleza ile tabia ya kufanya halafu ndio upime....mdogo wangu jiangalie sana..mjini shule.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chai ya rangi ya binzali hyo we kunywa tu usiulize sana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] so chai
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16], siuzagi mechi
Hapo unajiona kama wewe ndio wakwanza kwake, na kuendeleza ile tabia ya kufanya halafu ndio upime....mdogo wangu jiangalie sana..mjini shule.
 
Back
Top Bottom