Nimeokota dodo, Zero IQ akae kwanza uwanja ni wangu

Nimeokota dodo, Zero IQ akae kwanza uwanja ni wangu

Bado hatujafungua Jamaa nasoma naye Shule Moja,, Ila Ni kilaza...na Ni Mzee Wa chaputa aka Domo Zege
c257719acb03b9d0de2394bdbe4c0013.jpeg
 
Story ya mvulana na binti...uyu binti.JF inahali mbaya sana
 
Yapata mda flani baada ya kukutana na mtoto mzuri niliyemuacha 4m 1, kipindi icho mi namalza form 4, mtoto alikua mrembo sana, mtoto wa kishua, mtoto enzi izo nsingeweza kufurukuta maana alikuwa anawindwa sana na advance sisi o-level hatua na usemi kwa o-level wenzetu na ndivyo inayokuaga.

Baada ya apo binti nkawa namuona anakuja mara kwa mara kwa shule ambayo mimi nilichaguliwa advance, akawa anakuja kwa ajili ya mikutano ya dini, shule niliposomea advance na o-level zilkua karibu kama 11KM.

Demu alikua kazoeana sana na jamaa ambae nilisoma nae O-level tukachaguliwa wote advance, demu alkua anapenda sana kuimba, basketball, na ndo maana alikua rafiki yake na mchizi wangu ila sote hatufurukuta kwa uzuri wa yule binti, nikajipa subila.

Baada ya kumaliza shuke na kusonga mbele, Mara nkamkutana binti mtaa X, kaumbika, akitembea kama kuna kitu anataka kudondosha, nkamzamia mazima, binti kuniona akanikumbuka, tukabadilishana no.

Nikajiunga kifurushi cha voda dk.100, hazikufua dafu, nkaongeza, binti nkampanga, binti kaingia mazima mazima, saivi ningekua na geto, ngekua nshakula mzigo mdaa, ila mwenzenu kapukule, sema baada ya siku chache ntakua na maua ya kutosha.

Binti huyu ananizidi miezi minne, ila nmemdanganya umri, alitaka nmuoneshe cheti cha kuzariwa, nmekataa kata kata najua atanipunguza vyeo, ila nmemdanganya umri, nmempga range ya 3years, Ila binti kamaliza form 4 mwaka jana.

Binti kanielewa, ila mda naandika huu uzi, niko nampanga aje, nimpeleke kuosha rungu. wale wa CHAPUTA, mi so mwenzenu saivi nasafisha rungu kwa maji ya uhai.

NB: SIUZI MECHI.
Kabla ya yote, mwambie huyo binti kuwa majina ya kuingia form 5 na shule zimetoka.
Asante.
 
Yani ulimaliza shule akiwa njuka alafu bado kakuzidi umri?
Au sijaelewa?
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], mzee, wacha kwanza nishibe shibe
Kabla ya yote, mwambie huyo binti kuwa majina ya kuingia form 5 na shule zimetoka.
Asante.
 
Back
Top Bottom