Nimeokota dodo, Zero IQ akae kwanza uwanja ni wangu

Jstar1

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2019
Posts
1,392
Reaction score
1,416
Yapata mda flani baada ya kukutana na mtoto mzuri niliyemuacha 4m 1, kipindi icho mi namalza form 4, mtoto alikua mrembo sana, mtoto wa kishua, mtoto enzi izo nsingeweza kufurukuta maana alikuwa anawindwa sana na advance sisi o-level hatua na usemi kwa o-level wenzetu na ndivyo inayokuaga.

Baada ya apo binti nkawa namuona anakuja mara kwa mara kwa shule ambayo mimi nilichaguliwa advance, akawa anakuja kwa ajili ya mikutano ya dini, shule niliposomea advance na o-level zilkua karibu kama 11KM.

Demu alikua kazoeana sana na jamaa ambae nilisoma nae O-level tukachaguliwa wote advance, demu alkua anapenda sana kuimba, basketball, na ndo maana alikua rafiki yake na mchizi wangu ila sote hatufurukuta kwa uzuri wa yule binti, nikajipa subila.

Baada ya kumaliza shuke na kusonga mbele, Mara nkamkutana binti mtaa X, kaumbika, akitembea kama kuna kitu anataka kudondosha, nkamzamia mazima, binti kuniona akanikumbuka, tukabadilishana no.

Nikajiunga kifurushi cha voda dk.100, hazikufua dafu, nkaongeza, binti nkampanga, binti kaingia mazima mazima, saivi ningekua na geto, ngekua nshakula mzigo mdaa, ila mwenzenu kapukule, sema baada ya siku chache ntakua na maua ya kutosha.

Binti huyu ananizidi miezi minne, ila nmemdanganya umri, alitaka nmuoneshe cheti cha kuzariwa, nmekataa kata kata najua atanipunguza vyeo, ila nmemdanganya umri, nmempga range ya 3years, Ila binti kamaliza form 4 mwaka jana.

Binti kanielewa, ila mda naandika huu uzi, niko nampanga aje, nimpeleke kuosha rungu. wale wa CHAPUTA, mi so mwenzenu saivi nasafisha rungu kwa maji ya uhai.

NB: SIUZI MECHI.
 
we Jstar1 nilijua ni Ke nilitaka nikuchakate, kumbe we ni Me mwenzangu Am sorry,

Nipatie location ya huyu mtoto mrembo nimcheki nione kama anafanania kwa matumizi ya Binadamu.
 
asubuhu yite hii kweliii? kweli lazima watu walie hali ngumu maana hamfanyi kazi mnawaza kuosha marungu tu
, na leo ndo nmepumzika after msoto ka wa mwezi mzma yaani kuamka saa 10, kulala saa 5
 
we Jstar1 nilijua ni Ke nilitaka nikuchakate, kumbe we ni Me mwenzangu Am sorry,

Nipatie location ya huyu mtoto mrembo nimcheki nione kama anafanania kwa matumizi ya Binadamu.
mi nwenyew siamn kama wewe ni me
 
we jamaa bana inapigwa rege unakatika mauno kama unacheza bolingo,rege imeisha ndio unastuka iliyokuwa inapigwa ni rege si bolingo
 
Yapata mda flani baada ya kukutana na mtoto mzuri niliyemuacha 4m 1, kipindi icho mi namalza form 4, mtoto alikua mrembo sana, mtoto wa kishua, mtoto enzi izo nsingeweza kufurukuta maana alikuwa anawindwa sana na advance sisi o-level hatua na usemi kwa o-level wenzetu na ndivyo inayokuaga.

Baada ya apo binti nkawa namuona anakuja mara kwa mara kwa shule ambayo mimi nilichaguliwa advance, akawa anakuja kwa ajili ya mikutano ya dini, shule niliposomea advance na o-level zilkua karibu kama 11KM.

Demu alikua kazoeana sana na jamaa ambae nilisoma nae O-level tukachaguliwa wote advance, demu alkua anapenda sana kuimba, basketball, na ndo maana alikua rafiki yake na mchizi wangu ila sote hatufurukuta kwa uzuri wa yule binti, nikajipa subila.

Baada ya kumaliza shuke na kusonga mbele, Mara nkamkutana binti mtaa X, kaumbika, akitembea kama kuna kitu anataka kudondosha, nkamzamia mazima, binti kuniona akanikumbuka, tukabadilishana no.

Nikajiunga kifurushi cha voda dk.100, hazikufua dafu, nkaongeza, binti nkampanga, binti kaingia mazima mazima, saivi ningekua na geto, ngekua nshakula mzigo mdaa, ila mwenzenu kapukule, sema baada ya siku chache ntakua na maua ya kutosha.

Binti huyu ananizidi miezi minne, ila nmemdanganya umri, alitaka nmuoneshe cheti cha kuzariwa, nmekataa kata kata najua atanipunguza vyeo, ila nmemdanganya umri, nmempga range ya 3years, Ila binti kamaliza form 4 mwaka jana.

Binti kanielewa, ila mda naandika huu uzi, niko nampanga aje, nimpeleke kuosha rungu. wale wa CHAPUTA, mi so mwenzenu saivi nasafisha rungu kwa maji ya uhai.

NB: SIUZI MECHI.
Kwani Tanzania shule zimefungwa naona mambo ya FaceBook uku...
 
Back
Top Bottom