Nimeokoa kifo kwa mlevi usiku huu

Nimeokoa kifo kwa mlevi usiku huu

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
22,779
Reaction score
31,295
Baada ya mechi ya Madrid na Liverpool nikawa narudi home. Hamadi nakaribia kufika home nikashtushwa na kitu kama mtu kwenye mtaro ulio na maji.

Nikataka kimbia lakini nikauvaa uanaume.Nikarudi hatua kadhaa nyuma na kumulika.Ohooo ni mjakazi namjua na yupo kwenye maji hajiwezi kalala chali.

Angeanguka kifudifudi tusingekuwa naye mpaka sasa. Nikamvuta nje kisha nikaenda kwa boss wake kugonga, tumeenda kumbeba tumekuta katapika damu sana.

Pombe sio nzuri wadau.Tumemwogesha maji ya moto na epewa uji, sijui ataamka vipi?

Ingawa huwa naonja, ila pombe si nzuri.
 
Baada ya mechi ya Madrid na Liverpool nikawa narudi home.Hamadi nakaribia kufika home nikashtushwa na kitu kama mtu kwenye mtaro ulio na maji.Nikataka kimbia lakini nikauvaa uanaume.Nikarudi hatua kadhaa nyuma na kumulika.Ohooo ni mjakazi namjua na yupo kwenye maji hajiwezi kalala chali.Angeanguka kifudifudi tusingekuwa naye mpaka sasa.Nikamvuta nje kisha nikaenda Kwa boss wake kugonga,tumeenda kumbeba tumekuta katapika damu Sana.Pombe sio nzuri wadau.
Tumemwogesha maji ya moto na epewa uji,sijui ataamka vipi?

Ingawa huwa naonja,Ila pombe si nzuri.
Huyo kanywa gongo hajanywa the favourite beer in the world....

Any way pole yake mkuu
IMAG0007.jpg
 
Baada ya mechi ya Madrid na Liverpool nikawa narudi home.Hamadi nakaribia kufika home nikashtushwa na kitu kama mtu kwenye mtaro ulio na maji.Nikataka kimbia lakini nikauvaa uanaume.Nikarudi hatua kadhaa nyuma na kumulika.Ohooo ni mjakazi namjua na yupo kwenye maji hajiwezi kalala chali.Angeanguka kifudifudi tusingekuwa naye mpaka sasa.Nikamvuta nje kisha nikaenda Kwa boss wake kugonga,tumeenda kumbeba tumekuta katapika damu Sana.Pombe sio nzuri wadau.
Tumemwogesha maji ya moto na epewa uji,sijui ataamka vipi?

Ingawa huwa naonja,Ila pombe si nzuri.
Anyway next time mngem nyweesha mkojo angekuwa salama talkn from exprience....
 
Ingawa pia umefanya kitendo cha hatari sana. Kuwa tu makini next time.
Unaweza kuwa mtego ukienda watu wakushambulie
Unaweza enda msaidia ukakuta amekufa ile unatoka watu wanakuona wakahisi wewe ndo umemuua
Unaweza kuwa katika harakati hizo za kumsaidia ndo ukammalizia na kesi ikakuangukia wewe

Ushauri: mambo ya ngoswe mwachie ngoswe.ukikuta mtu kajilalia mwache apumzike ndo maisha aliyo yachagua.ulevi si ugonjwa au ulemavu. Mtu anaamua kwenda kunywa akiwa na akili timamu. Lakini pia ukitenda wema usitangaze kwa watu.hizo ni tahadhali tu nmekupa.
 
Baada ya mechi ya Madrid na Liverpool nikawa narudi home.Hamadi nakaribia kufika home nikashtushwa na kitu kama mtu kwenye mtaro ulio na maji.Nikataka kimbia lakini nikauvaa uanaume.Nikarudi hatua kadhaa nyuma na kumulika.Ohooo ni mjakazi namjua na yupo kwenye maji hajiwezi kalala chali.Angeanguka kifudifudi tusingekuwa naye mpaka sasa.Nikamvuta nje kisha nikaenda Kwa boss wake kugonga,tumeenda kumbeba tumekuta katapika damu Sana.Pombe sio nzuri wadau.
Tumemwogesha maji ya moto na epewa uji,sijui ataamka vipi?

Ingawa huwa naonja,Ila pombe si nzuri.
alitapika damu nyingi sana au. na huwa damu ziina toka wapi n kwenye utumbo hapo hapo au
 
Baada ya mechi ya Madrid na Liverpool nikawa narudi home.Hamadi nakaribia kufika home nikashtushwa na kitu kama mtu kwenye mtaro ulio na maji.Nikataka kimbia lakini nikauvaa uanaume.Nikarudi hatua kadhaa nyuma na kumulika.Ohooo ni mjakazi namjua na yupo kwenye maji hajiwezi kalala chali.Angeanguka kifudifudi tusingekuwa naye mpaka sasa.Nikamvuta nje kisha nikaenda Kwa boss wake kugonga,tumeenda kumbeba tumekuta katapika damu Sana.Pombe sio nzuri wadau.
Tumemwogesha maji ya moto na epewa uji,sijui ataamka vipi?

Ingawa huwa naonja,Ila pombe si nzuri.
Hongera kwa kumsaidia Mungu akubariki.
 
Ingawa pia umefanya kitendo cha hatari sana. Kuwa tu makini next time.
Unaweza kuwa mtego ukienda watu wakushambulie
Unaweza enda msaidia ukakuta amekufa ile unatoka watu wanakuona wakahisi wewe ndo umemuua
Unaweza kuwa katika harakati hizo za kumsaidia ndo ukammalizia na kesi ikakuangukia wewe

Ushauri: mambo ya ngoswe mwachie ngoswe.ukikuta mtu kajilalia mwache apumzike ndo maisha aliyo yachagua.ulevi si ugonjwa au ulemavu. Mtu anaamua kwenda kunywa akiwa na akili timamu. Lakini pia ukitenda wema usitangaze kwa watu.hizo ni tahadhali tu nmekupa.
Usiufuate ushauri huu...
 
Kwakuwa hii issue umeanza nayo mwanzo, inaelekea jamaa ana psychological issues. Akiwa sober jaribu kuongea nae.
 
Ingawa pia umefanya kitendo cha hatari sana. Kuwa tu makini next time.
Unaweza kuwa mtego ukienda watu wakushambulie
Unaweza enda msaidia ukakuta amekufa ile unatoka watu wanakuona wakahisi wewe ndo umemuua
Unaweza kuwa katika harakati hizo za kumsaidia ndo ukammalizia na kesi ikakuangukia wewe

Ushauri: mambo ya ngoswe mwachie ngoswe.ukikuta mtu kajilalia mwache apumzike ndo maisha aliyo yachagua.ulevi si ugonjwa au ulemavu. Mtu anaamua kwenda kunywa akiwa na akili timamu. Lakini pia ukitenda wema usitangaze kwa watu.hizo ni tahadhali tu nmekupa.
Next time MYOFB..


utakufa kizembe au ishia jela...
Bakini na misimamo yenu. Wenye roho za kusaidia wataendelea kusaidia.
 
Asante sn mkuu,nasema asingefika asubuhi salama,Yale maji yangemuua.Ma kuna wingu sn endapo mvua ingenyesha ndo kabisaaa
Kwani we uko wapi huko kwenye wingu maana Mbeya hata dalili ya mvua hakuna
 
Baada ya mechi ya Madrid na Liverpool nikawa narudi home.Hamadi nakaribia kufika home nikashtushwa na kitu kama mtu kwenye mtaro ulio na maji.Nikataka kimbia lakini nikauvaa uanaume.Nikarudi hatua kadhaa nyuma na kumulika.Ohooo ni mjakazi namjua na yupo kwenye maji hajiwezi kalala chali.Angeanguka kifudifudi tusingekuwa naye mpaka sasa.Nikamvuta nje kisha nikaenda Kwa boss wake kugonga,tumeenda kumbeba tumekuta katapika damu Sana.Pombe sio nzuri wadau.
Tumemwogesha maji ya moto na epewa uji,sijui ataamka vipi?

Ingawa huwa naonja,Ila pombe si nzuri.
Kila kitu kina matumizi yake sahihi ukienda kinyume na matumizi sahihi unapata shida... Saa nyingine shida kubwa
 
Back
Top Bottom