Walevi wa steji hiyo siyo saikoloji tena ila inakua sehemu ya maisha yao hata akiongea naye hatopata jibu la kueleweka.Kwakuwa hii issue umeanza nayo mwanzo, inaelekea jamaa ana psychological issues. Akiwa sober jaribu kuongea nae.
Na wewe ulikuwa mlevi wa kuokotwa!?Pombe siyo chai..! Asante Mungu kwa kuniepusha na huu ulevi..!
Du...eti yale ya kawaida!Walevi wa steji hiyo siyo saikoloji tena ila inakua sehemu ya maisha yao hata akiongea naye hatopata jibu la kueleweka.
Kuna siku alfajiri saa 12 nilikua naenda gym kuna kiwanja cha mpira lazima nikipite nafika pale namkuta jamaa hua namuona tu mtaani hatuna mazoea akiwa na boxer tu huku yuko peku watu wanamshangaa.
Alikua anajogg ila huku anayumba nikamsogelea nikamuuliza vipi mzee akanijibu nafanya mazoezi nikauliza tena, nguo ziko wapi sasa. Akawa kimya nikaondoka naye kwenda kumpa jinzi na shati.
Nikiwa narudi gym kuna washkaji wakanifuata wakawa wanasema mzee tunaona umeopoa kitoga, nikawaambia siyo mambo yangu hayo. Baada ya stori za hapa na pale nikajua kua jamaa ni kawaida yake kulewa bila kua na hela na wakati mwingine hua anaingiliwa kama malipo kwahiyo nilivyoondoka naye watu wakahisi na mimi nimeenda kupiga mambo.
Sikuonana naye kama wiki mbili siku moja tunakutana nikamuuliza ebwana siku ile ilikuaje kwanza akawa kanisahau baada ya kunikumbuka akajibu yale ya kawaida tu akatoa simu anaibonyeza huku anaondoka.
Mi juzi natoka job 3:45am, niko mafuta 70kph, mara upande wa kulia, naona mtu kalala kifudifudi kwenye lami kakata line ya upande huo.Baada ya mechi ya Madrid na Liverpool nikawa narudi home.Hamadi nakaribia kufika home nikashtushwa na kitu kama mtu kwenye mtaro ulio na maji.Nikataka kimbia lakini nikauvaa uanaume.Nikarudi hatua kadhaa nyuma na kumulika.Ohooo ni mjakazi namjua na yupo kwenye maji hajiwezi kalala chali.Angeanguka kifudifudi tusingekuwa naye mpaka sasa.Nikamvuta nje kisha nikaenda Kwa boss wake kugonga,tumeenda kumbeba tumekuta katapika damu Sana.Pombe sio nzuri wadau.
Tumemwogesha maji ya moto na epewa uji,sijui ataamka vipi?
Ingawa huwa naonja,Ila pombe si nzuri.
My ecperience! Tenda wema siku zote, usiache kwa kufikiria madhara ya baadae. Mungu aonaye sirini, atakubariki.Ingawa pia umefanya kitendo cha hatari sana. Kuwa tu makini next time.
Unaweza kuwa mtego ukienda watu wakushambulie
Unaweza enda msaidia ukakuta amekufa ile unatoka watu wanakuona wakahisi wewe ndo umemuua
Unaweza kuwa katika harakati hizo za kumsaidia ndo ukammalizia na kesi ikakuangukia wewe
Ushauri: mambo ya ngoswe mwachie ngoswe.ukikuta mtu kajilalia mwache apumzike ndo maisha aliyo yachagua.ulevi si ugonjwa au ulemavu. Mtu anaamua kwenda kunywa akiwa na akili timamu. Lakini pia ukitenda wema usitangaze kwa watu.hizo ni tahadhali tu nmekupa.
Hakika ni wa kipuuzi. Inasemekana zamani mtoa taarifa polisi ndiye waliyekuwa wanaanza nao, ni upotoshaji ambao mi sijaona kwa siku hizi za karibuni. Mtoa taarifa ni sawa na mjumbe, hauwawi.Usiufuate ushauri huu...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kumuokoa mlevi ni sawa na kudidimiza nchi kiuchumi
Akitaka kusaidia aite watu kwanza ili hata kama itatokea kavuta mtakuwa na cha kusema mkiwa wengi.Ingawa pia umefanya kitendo cha hatari sana. Kuwa tu makini next time.
Unaweza kuwa mtego ukienda watu wakushambulie
Unaweza enda msaidia ukakuta amekufa ile unatoka watu wanakuona wakahisi wewe ndo umemuua
Unaweza kuwa katika harakati hizo za kumsaidia ndo ukammalizia na kesi ikakuangukia wewe
Ushauri: mambo ya ngoswe mwachie ngoswe.ukikuta mtu kajilalia mwache apumzike ndo maisha aliyo yachagua.ulevi si ugonjwa au ulemavu. Mtu anaamua kwenda kunywa akiwa na akili timamu. Lakini pia ukitenda wema usitangaze kwa watu.hizo ni tahadhali tu nmekupa.
ni kweli pole yakeeAsante sn mkuu,nasema asingefika asubuhi salama,Yale maji yangemuua.Ma kuna wingu sn endapo mvua ingenyesha ndo kabisaaa
Hekima za KuDume hizo...Ingawa pia umefanya kitendo cha hatari sana. Kuwa tu makini next time.
Unaweza kuwa mtego ukienda watu wakushambulie
Unaweza enda msaidia ukakuta amekufa ile unatoka watu wanakuona wakahisi wewe ndo umemuua
Unaweza kuwa katika harakati hizo za kumsaidia ndo ukammalizia na kesi ikakuangukia wewe
Ushauri: mambo ya ngoswe mwachie ngoswe.ukikuta mtu kajilalia mwache apumzike ndo maisha aliyo yachagua.ulevi si ugonjwa au ulemavu. Mtu anaamua kwenda kunywa akiwa na akili timamu. Lakini pia ukitenda wema usitangaze kwa watu.hizo ni tahadhali tu nmekupa.
Baada ya mechi ya Madrid na Liverpool nikawa narudi home.Hamadi nakaribia kufika home nikashtushwa na kitu kama mtu kwenye mtaro ulio na maji.Nikataka kimbia lakini nikauvaa uanaume.Nikarudi hatua kadhaa nyuma na kumulika.Ohooo ni mjakazi namjua na yupo kwenye maji hajiwezi kalala chali.Angeanguka kifudifudi tusingekuwa naye mpaka sasa.Nikamvuta nje kisha nikaenda Kwa boss wake kugonga,tumeenda kumbeba tumekuta katapika damu Sana.Pombe sio nzuri wadau.
Tumemwogesha maji ya moto na epewa uji,sijui ataamka vipi?
Ingawa huwa naonja,Ila pombe si nzuri.
Kwanini umeuliza mkuu? Angalia muda nilioweka thread.Hivi hii mechi ya Madrid na Liverpool ilifanyika wapi ???? Huyu mwenzetu kapanda ndege fasta lakini huko angani akiwa anarudi baada ya kuangalia mechi kamkuta mtu kaanguka kwenye mtaro !!!!! kama sio mlevi mtoa mada basi atakuwa anatusimulia ndoto aliyokuwa anaota !!
Lazima uisaidie polisi wwBaada ya mechi ya Madrid na Liverpool nikawa narudi home.Hamadi nakaribia kufika home nikashtushwa na kitu kama mtu kwenye mtaro ulio na maji.Nikataka kimbia lakini nikauvaa uanaume.Nikarudi hatua kadhaa nyuma na kumulika.Ohooo ni mjakazi namjua na yupo kwenye maji hajiwezi kalala chali.Angeanguka kifudifudi tusingekuwa naye mpaka sasa.Nikamvuta nje kisha nikaenda Kwa boss wake kugonga,tumeenda kumbeba tumekuta katapika damu Sana.Pombe sio nzuri wadau.
Tumemwogesha maji ya moto na epewa uji,sijui ataamka vipi?
Ingawa huwa naonja,Ila pombe si nzuri.