Wewe pimbi sana, una tabia za kifara kweli kweli na una Uwoga wa kipumbavu manina zako. Yan nyinyi ndio huwa hata ukikuta mwenzio anabreakdown na hazard katia aombe msaada mnaongeza na mwendo kabisa. Aysee umenitia hasira kwa ushaur wako wa kijinga Nenda Kanisan/Msikitini kaswali ujaaliwe roho ya utu na si roho ya shetan uliyonayo.Ingawa pia umefanya kitendo cha hatari sana. Kuwa tu makini next time.
Unaweza kuwa mtego ukienda watu wakushambulie
Unaweza enda msaidia ukakuta amekufa ile unatoka watu wanakuona wakahisi wewe ndo umemuua
Unaweza kuwa katika harakati hizo za kumsaidia ndo ukammalizia na kesi ikakuangukia wewe
Ushauri: mambo ya ngoswe mwachie ngoswe.ukikuta mtu kajilalia mwache apumzike ndo maisha aliyo yachagua.ulevi si ugonjwa au ulemavu. Mtu anaamua kwenda kunywa akiwa na akili timamu. Lakini pia ukitenda wema usitangaze kwa watu.hizo ni tahadhali tu nmekupa.
Maisha yenyewe fakini hayaBakini na misimamo yenu. Wenye roho za kusaidia wataendelea kusaidia.
Aisee...Maisha yenyewe fakini haya
Mimi ukimuona naenda kutoa msaada kwenye ajali/mlevi Kama huyo Ni kusachi mifukoni tu
(Sio Mimi,nimenukuu maneno ya jamaa niliyemuonesha huu Uzi hapa kijiweni)
Wazazi wako walikuwa vizuri kukufundisha matusi... Huja walet down. Ila shule ndo hawakuona umuhimu wa kukupeleka.... Wakakufundisha tu matusi home school. Na sasa unaonesha ulivyo fundi... Hongera sanaWewe pimbi sana, una tabia za kifara kweli kweli na una Uwoga wa kipumbavu manina zako. Yan nyinyi ndio huwa hata ukikuta mwenzio anabreakdown na hazard katia aombe msaada mnaongeza na mwendo kabisa. Aysee umenitia hasira kwa ushaur wako wa kijinga Nenda Kanisan/Msikitini kaswali ujaaliwe roho ya utu na si roho ya shetan uliyonayo.
Huyu tuvijana hatuwezi kunielewa. Watuulize sisi watu wazima haya mambo tunayafaham vizuri sana. Kuna jamaa kasota miaka 4 jela alimkuta mtu kagongwa kaachwa barabaran akamchukua kwenye gari yake...jamaa akafika garin akimpeleka hosp. Marehem aliibiwa pesa nyingi pia na wahusika walitumia gari kama ya jamaa pasipo yeye kujua.... Four years in jail.Hekima za KuDume hizo...
Nami nimepata somo pia