Nakupenda......
Uwatukane wamefanyaje.., kwa hiyo kama umependeza wasikusifie...
wasidie tu kuliko kuacha kitu iliwe kwa mkopo tena game la ofisini hua tamu kinoma wangu test radha yake uone
bwana we jipendekeze kwa mmoja basi mwite baby baby huku unamyima wengine watakuita shemeji basi umekata mzizi wa fitna loh
Naona bora uwaeleze mambo ya kijinga hupendelei kazini. Wajue kuna limit na wewe kusikiliza upuuzi wao, simply they're sexual starved.
weeeh nikijipendekeza na utani wa baby atafanya kweli, maana naona anaoitana shemeji siku ingine utaskia sasa shemeji tuzime taa, hapo kamshika mdada kiuno au kamkumbatia begani aaahh maofisi haya, majanga matupu.
bwana we jipendekeze kwa mmoja basi mwite baby baby huku unamyima wengine watakuita shemeji basi umekata mzizi wa fitna loh
Ai weweee!
Na ujanja wangu wote am worried.
Ndo Zako acha wenzako wale vichwa lol