Nimeoa single mama

Uzuri umesikiliza upande wa mkeo....hujamsikiliza mzazi mwenzake kama ni kweli aliyokueleza. Penzi lenye kuhusisha mtoto halifi. Maadam hakubakwa....
Mimi nikutolee mfano: kuna Dada tumezaa nae ameolewa na mtoto wangu....kuna muda huwa namkumbuka na namwomba mtoto nimwone kumbe ndio tunakulana hivo kama masikhara.
 
Wadada wengi wamejikatia tamaa.
Akiambiwa lolote ili tu aolewe atafanya.
 
usiamini sana maneno yake kuwa mzaz wenza wake hajulikani halipo kiufup kibenten umeyakanyaga
 
Jiandae kujinyonga
 
Wanaume tuna wivu wa ajabu Sana

Nikuhakikishie TU
Huyo mzazi mwenzie yupo Hapa mjini
Na anajua kila kinachoendelea na mzazi mwenzie, sema kwasababu yupo yupo TU anateseka na dunia, jamaa anajikausha.

Ila kwasababu kaskia umemuoa,
ataibuka kwa Kasi ili kurudisha majeshi na mzazi mwenzie

Na sio anarudisha majeshi kwasababu anampenda Sana binti, Bali kukuonesha kua yeye Ni jemedari alikutangulia na anaweza kukuchapia kirahisi.
Lengo amharibie binti mahusiwno ili arudi Tena kweye msoto.

Na wanawake walivo dhaifu kwenye hili, Lazima TU Atanasa ktk mtego huu.

Na Hapo ndo kilio na majuto yako vitaanzia.

Sikutishi,
ila nakwambia ukweli,
Ili ujipange kisaikolojia Kama kweli unampenda uyo binti na umedhamiria
 
Wewe na huyo baba aliekimbia mtoto hamna tofauti.

Kwanini umkatae mtoto, binafsi kama ntaoa singo maza(japo sitegemei hilo) ila kama ikitokea basi mtoto pia ntamchukua kama wangu iwapo baba yake kamtelekeza, ila kama baba anawajibika katu siwezi kua na huyo mwanamke.
 
Wadada wengi wamejikatia tamaa.
Akiambiwa lolote ili tu aolewe atafanya.
hili nalo neno single mothers wengi wamejikatia tamaa na maisha ila km mmependana kweli na mnamalengo sawa kikubwa kuishi na kuvumliana na unaweza kuta ndoa yako inadumu kweli kweli kuliko ambayo sio ya single mother pia mungu anakupa baraka manakr umemstiri bibie watu.
 
Uishi Maisha marefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…