Asubirie kupigwa pigoa Ngumi ya Ndoige [emoji23][emoji23]Shabani kaonekaaa, shabani kaonekaa umejichanganya Extrovert
Yaani watu wengine wame zaliwa na mikosi kwa 29yrs una oa single maza eti ana nipenda sanaa hiyo ni laana chunguza ukoo wenu nani ana kurogahabarini wakuu,,
wiki hii nimeoa single mom,mtoto wake ana miaka 2 tangu azae jamaaa alikimbia na hajulikani alipo hadi sasa hakutoa hata mia kweny malez ya mtoto,,alisaidiwa kulea mtoto na mama ake ,,mtoto kamuacha kwao na mi sitaki kuishi na uyo mtoto wake na yy ashalikubali hilo mana tangu uchumba wetu wa mwaka mmoja,nishamwambiaga sitokaa na mtoto wako.
ananipenda sana tena ile sana sijawahi kupendwa kama ivi kwa huu umri wangu wa 29 years,..nimewaacha wengi sana nimeamua yeye kumuoa nimeona hatasumbua kwa chochote mana ni mpole na msikivu sanaaaaaa.
nimekuja tu humu kuwapa hiyo taarifa na kuja kuona mnaniusia wosia gani,,,ko karibuni kwa maoni ya jinsi ya kuishi nae,,na vitu gan nijitahadhari navyo,ushauri wowote pia unaruhusiwa na chochote ulichonacho cha kuniambia hata kiwe kibaya sawa tu karibu sana.
Mbona haya maneno ni kama sheriaSiwezi na sitakuja weza kuishi na mtu akithubutu au kutamka au nikhisi anabagua mtoto wangu
Mtoto wangu kwanza
We hako katoto kanakupunguzia nin na watazaliwa ndugu zake hapo,ukishaamua kitu amua
Ukipenda boga penda na ua lake
Watazaliwa ndugu zake kwa kupitia Baba yupi maana mtoto hapo ana Baba mzazi na Baba mleziSiwezi na sitakuja weza kuishi na mtu akithubutu au kutamka au nikhisi anabagua mtoto wangu
Mtoto wangu kwanza
We hako katoto kanakupunguzia nin na watazaliwa ndugu zake hapo,ukishaamua kitu amua
Ukipenda boga penda na ua lake
Atakufa vibaya huyu aloooh! Kosa kubwa sana kumtenga huyo mtoto wa single mother, baby dady akirudi tu wanaunganisha familiaAsubirie kupigwa pigoa Ngumi ya Ndoige [emoji23][emoji23]
Shida ni mawasiliano kuendelea na huyo baba wa mtoto,tumekaa nahudumia familia halafu inapigwa simu na mwanaume kuulizia hali ya mtoto ,ndiyo maana nasema kama sijaliona kaburi la baba yake na mtoto siwezi kuoa single mother.Siwezi na sitakuja weza kuishi na mtu akithubutu au kutamka au nikhisi anabagua mtoto wangu
Mtoto wangu kwanza
We hako katoto kanakupunguzia nin na watazaliwa ndugu zake hapo,ukishaamua kitu amua
Ukipenda boga penda na ua lake
Huyo dada si atazaa naeWatazaliwa ndugu zake kwa kupitia Baba yupi maana mtoto hapo ana Baba mzazi na Baba mlezi
Na mnaosemaga hivi ndio mnakujaga kuwaoa na kuwapenda sanaShida ni mawasiliano kuendelea na huyo baba wa mtoto,tumekaa nahudumia familia halafu inapigwa simu na mwanaume kuulizia hali ya mtoto ,ndiyo maana nasema kama sijaliona kaburi la baba yake na mtoto siwezi kuoa single mother.
Ukweli ni kwamba hadi kuzaa naye ,huyo Dada/mama alimpenda kwa dhati na kufikia kumbebea mimba,akitaka kurudi ni ngumu sana kumzuiababa ya mtoto akisikia mama mtu kaolewa ndio atajitokeza sasa. Na na tunda atapewa tena.😂