Mh!. Mbona hainiingii akilini kweli miaka 9 umeweza kuishi naye kwenye ndoa halafu leo useme mkeo ni mkali mpaka unafikia hatua ya kumwogopa, hatukatai ni kweli kuna watu wakali na ndiyo asili yao lakini kuna namna ya kumsoma na kuweza kuishi na huyo mtu bila wewe kukwazika. Binasfi nina mashaka na wewe, hapo jiangalie mwenyewe kwanza may be unaweza kuwa ndiyo chachu ya ukali kwa mkeo. Nakushauri kaa chini jifikirie sana kwanini mkeo anakuwqa mkali then wewe kama kichwa cha familia uchukue hatua za kiume kutatua hilo suala, hayo mambo ya kukimbia familia inaonesha uwezo wako ni mdogo sana katika kutatua matatizo hasa ya kifamilia, kumbuka mwanaume aliyekamilika hasifiwi kula, kuwa na wanawake wengi bali husifiwa kuwa na uwezo wa kuhimili na kutatua matatizo ya kifamilia:majani7:
Upo sahihi mkuu kama aliweza kuvumilia miaka yote hii iweje leo akae kwenye keyboard nakuanza kupiga kelele. Halafu ajue kuwa tatizo siku zote halikimbiwi bali hutatuliwa.
Upo sahihi mkuu kama aliweza kuvumilia miaka yote hii iweje leo akae kwenye keyboard nakuanza kupiga kelele. Halafu ajue kuwa tatizo siku zote halikimbiwi bali hutatuliwa.
kila akanzisha ugomvi anza kumtomasa-masa akilegea mpige kama viwili ivi vya nguvu nnauhakika utakua umetatua tatizo!!!
So umekimbia familia kwa sababu ya ukali wake? Sidahani kama anapata ile huduma ya 6x6 ipasavyo, maana inasemekana mwanamke asiepata hiyo huduma vizuri anakuwa mkali sana.
Mkuu nimekupa like kwa sababu we are sailing on the same sinking boat. nadhani wakulya ni bora kuolewa na wakulya wenzao its very hard to handle them. mi nimejitahidi kumbadilisha na kuongea naye kwa upole lakini naishia kutukanwa mpaka nimeamua option ya kukaa kimya na kutafakali nini cha kufanya.
kila akanzisha ugomvi anza kumtomasa-masa akilegea mpige kama viwili ivi vya nguvu nnauhakika utakua umetatua tatizo!!!
Mimi ni mfanyabiashara nimemuo mke wangu miaka tisa iliyopita kabila lake mkulya.Mke wangu ni mkali sana mpaka kwa wafanyakazi wetu wanaotusaidia kazi kiasi kwamba imebidi mda mwingi niwe nakaa peke yangu sababu ya kuepuka ugomvi usiokuwa na lazima.Tumejenga nyumba mbili Mwanza na Iringa najikuta mda mwingi nautumia kukaa peke yangu iringa ili kuepuka ugomvi usiokuwa na maana ingawa yeye hajui kwa nini lakini bado atapiga simu mtagombana na ndoa yangu ya kikristo wanajamvi nifanyaje