Nimenyimwa unyumba takribani mwezi wa pili sasa

Mumeamkaje, mwenzenu nina hali mbaya. Nimenyimwa unyumba mwezi wa pili sasa, chanzo ni ugomvi wa hapa na pale usiohusiana na mapenzi. Tumesuluhishwa na ndugu na marafiki lakini hola!

Sifikirii kuwa msaliti, nafikiria kufanya maamuzi magumu ya kujiunga na chaputa. Msaada jamani
Tafuta ile midoli (dildo) itakupa raha hadi umsahahu mumeo
 
hapo inabidi ubakaji uhusike la sivyo utatimiza mwaka bila kutifua

Tatizo jamaa baunsa hata nguvu za kumshika zinaisha kabla sijamshika. Ningekuwa na ubavu wa kumkaba wallah ningembaka aisee kwa jinsi nilivyo!!!
 
Back
Top Bottom