Hongera mkuu.
Kuna ile nadhalia imesambaa sana kuwa Amazon.com bidhaa zao huwa ni ghali japo zina ubora mdogo kuna ukweli juu ya hili?
Ok nataka kujua hyo laptop uliyonunua Amazon mpka kufika hapa gharama zake zikoje ukilinganisha na kama ungenunulia hapahapa
Nimekuelewa mkuuHapana, Amazon wanauza hasa bidhaa za makampuni mengine so ubora unategemea na kampuni unaweza kununua Apple au Samsung Amazon bei zao ni nzuri kwa Marekani tatizo ni shiping bongo.
Kuna vitu vingi ambavyo ni cheaper AliExpress lakini AliExpress kuna vitu havipatikani hasa vya brand kubwa.
Akijibu hili nitagGharama zote hadi kufika bongo ni sh. ngapi?
Laptop 6kg mkuu? Inafaa kupakata kweli? Kg 6 uzito wake ni sawa mtu amekupa furushi castle milk kubwa 12 au safari ndogo 16!Tatizo ni kwamba laptop niliyonunua bongo haipatikani, ila shipping ilikuwa $130 kwa laptop nzito kidogo 6kg ndani ya box so unaweza kufanya mahesabu kama unachotaka kununua bongo kipo, price + shipping + kodi.
[emoji13] [emoji12] [emoji13]Laptop 6kg mkuu? Inafaa kupakata kweli? Kg 6 uzito wake ni sawa mtu amekupa furushi castle milk kubwa 12 au safari ndogo 16!
Shida ya aliexpress na alibaba inasumbua kwenye njia ya kulipia kwani weng wanataka TT,pili nmehisi kuna matapeli wengi kwani tangu nijiunge napata matangazo na oda za vitu toka kwa wauzaji ambao sijafanya oda kwao,tatu wengi wao wanatumia majina ya mmilikiwa wa huo mtandao Jack MaHiyo nunua AliExpress.
Shida ya aliexpress na alibaba inasumbua kwenye njia ya kulipia kwani weng wanataka TT,pili nmehisi kuna matapeli wengi kwani tangu nijiunge napata matangazo na oda za vitu toka kwa wauzaji ambao sijafanya oda kwao,tatu wengi wao wanatumia majina ya mmilikiwa wa huo mtandao Jack Ma