Nimenunua Infinix Hot 8 haikai na Charge

Kipenseli

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2020
Posts
883
Reaction score
1,161
Habari zenu wakuuu.

Naomba niende straight ili nipate ushauri kama ninavyohitaji.

Last Week Nimenunua Simu (Infinix Hot 8) nadhani wengi mnaifahamu aina hii ya simu ikiwa nimeshawishika na sifa kuwa inakaa sana na charge.

Cha ajabu tangu nianze kutumia nimegundua kuwa si sahihi kuwa inakaa sana na charge tofauti na wenzangu wanavyosifia simu zao.

Je, mnanishauri vipi? ni simu ndo yenye tatizo au matumizi yangu hayaendani na kasi ya hii battery au natumia charger isiyofaa?
 
1. Ulinunua mpya au used?!
2.kama ilikuwa ni mpya, kwann kabla ya kuandika huu uzi usiirejeshe kwa waliokuuzia kabla haujaja kulalamika hapa. Na kama ulinunua mikononi mwa mtu hakukwambia hali ya hiyo simu kabla haujainunua...?!
 
Mpya kabisa 260k
 
Mimi yangu inakaa na chaji siku 10
Huwa unafanyaje ndugu yangu? na data huwa unatuwasha? maana yenyewe imeandikwa charger siku 4 tu wewe unewezaje kuvuka.....Je unatumia charger hiyo ambayo umeikuta kwenye box au charger aina nyingine??
 
Nina infinix hot 6 mwaka wa 2 na nusu sasa sijaona tatizo lolote charge hua inakaa 24hrs zaidi ya masaa 10 data ikiwa on... Nataka niibadili kwa sasa mana hadi naionea aibu.
 
Kuna simu inaitwa infinix? Itakuwa ni brand Mpya mjini,na je bei zake zikoje hiyo simu?
 
Habari zenu wakuuu.

Naomba niende straight ili nipate ushauri kama ninavyohitaji.

Last Week Nimenunua Simu (Infinix Hot 8) nadhani wengi mnaifahamu aina hii ya simu ikiwa nimeshawishika na sifa kuwa inakaa sana na charge.

Cha ajabu tangu nianze kutumia nimegundua kuwa si sahihi kuwa inakaa sana na charge tofauti na wenzangu wanavyosifia simu zao.

Je, mnanishauri vipi? ni simu ndo yenye tatizo au matumizi yangu hayaendani na kasi ya hii battery au natumia charger isiyofaa?
Umepewa infinix hot 8 fake,kujua fake na original ndio mthihani,lakini tecno na infinix na samsung fake ziko nyingi mno kariakoo
 
Simu zote duniani hazikai na chaji inategemea ni kwa muda gan!
 
1. Ulinunua mpya au used?!
2.kama ilikuwa ni mpya, kwann kabla ya kuandika huu uzi usiirejeshe kwa waliokuuzia kabla haujaja kulalamika hapa. Na kama ulinunua mikononi mwa mtu hakukwambia hali ya hiyo simu kabla haujainunua...?!

Hajataja inakaa na chaji kwa muda gani.

Hajataja level ya matumizi.

Hajataja matarajio yake ilikuwa chaji ikae kwa muda gani.

Huwezi kurudisha simu dukani kwa kigezo cha kutokaa na chaji, hiyo ni yake na ahangaike nayo tu.
 
Pengine ukute aliichukua na hakuiweka kwenye chaji zaidi ya masaa 12 ili ijazie nguvu.
 
Yaani hiyo sababu kurudisha simu ni ngumu, utapewa vigezo vya kuonesha kwamba tatizo lilikuwa lako tu lazima.

Labda tu kama inakaa na chaji chini ya masaa 3, ila yakishavuka 3 ni maumivu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom