Nimenunua Infinix Hot 8 haikai na Charge

mim nilinunua infinix hot 6 yaan inaoaa na charge adi raha kwAkwel.. uwa sizimi data ka masaa 24 ndio inakwisha.. niliinunua kwa mtu kisha battery niliagiza mpya dukani.. pole
 
mim nilinunua infinix hot 6 yaan inaoaa na charge adi raha kwAkwel.. uwa sizimi data ka masaa 24 ndio inakwisha.. niliinunua kwa mtu kisha battery niliagiza mpya dukani.. pole
Ulibadili battery?
 
niuzie mkuu
Nina infinix hot 6 mwaka wa 2 na nusu sasa sijaona tatizo lolote charge hua inakaa 24hrs zaidi ya masaa 10 data ikiwa on... Nataka niibadili kwa sasa mana hadi naionea aibu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom