Extra miles
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 3,319
- 4,352
Kwa hiyo bei ni shingapi hapo kwa ssd ya 1tbJaribu kutumia SSD, NI teknolojia ya kisasa zaidi kwa sasa.View attachment 1426282View attachment 1426283
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo bei ni shingapi hapo kwa ssd ya 1tbJaribu kutumia SSD, NI teknolojia ya kisasa zaidi kwa sasa.View attachment 1426282View attachment 1426283
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema sio nzuri kuhifadhia DATA mkuuJaribu kutumia SSD, NI teknolojia ya kisasa zaidi kwa sasa.View attachment 1426282View attachment 1426283
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa naweza kusema ni kweli Coz 2TB kibongo bongo zinauzwa 160k ambayo ni Pesa rahisi sanaJanga la hdd bongo ni kama Samsung tu kuna refurbished za kutosha, asilimia kubwa si mpya na ukitaka mpya kampuni kubwa bei ndefu, 1tb inazidi 150k.
Zina tabia ya kupoteza data zisipopata umeme kwa muda mrefuYap hizo hushauriw kuziwekea DATA hizo Ni special kwaajili ya OS tu
Sent using Jamii Forums mobile app