Nimenunua gari kaniacha

Mkuu kaa chini piga moyo konde mara4 hapo kilichokuponza kuwa na gari ukajifanya kama unamiliki kiwanda cha magari ukamuweka nyuma mashauzi full ukaongeza marafiki wenye magari akikwambia kitu umsikilizi ukiwa naye utaki kwenda kwa marafiki zako wapya akikuuliza nilikuwa na marafiki yeye ukamfanya mama wanyumbani kila akikwambia hii tabia wewe umsikilizi haya ndo yaukweli ila usidhani mimi ndiye nimempeperusha au kaniambia wewe kumbuka kabla yakuwa na gari na sasahivi unagari kunayofauti gani! Kosa ni wewe na marafiki zako nasiyo gari! kwaheri
 

If she left without reason mtolee mbavuni akirudi with an excuse...tafuta mama ingine weka kwenye Corolla speed iendelee!
 

Huo ni mtazamo wetu wa kizamani. Hata mimi nlikuwa nz mawazo hayo.lakini Si kwa sasa ndugu yangu. Sa hivi gari is a necessity sio luxury. Kwanza ukinunua gari itaongezea na spidi ya kujenga coz itakusaidia san kwa safari za site.
 
Unatumia muda mwingi kuwaza gari,si haukuwa nalo! Na pia matumizi mengi yamehamia kwe gari, mafuta, tairi, service Mara faini,mara umegonga si bado hujui kuendesha!
Mahaba yote kwe gari! Kama unampenda hebu kalifiche sehemu umwambie hunalo tena ucheck, pole!
Ukiwa na gari unaweza hata kusahau kumnunulia Mke chupi, si masihara!
 
Kakuacha kwasababu gar umenunua mwenyewe...bajaj mpande wote.kuswampa mswampe wote kwanin gari ununue mwenyewe?
 

HIVI UNAKAA MKOA GANI MKUU?km out of Dar ntakuelewa
Wakazi wa Dar tunajua umuhimu wa private car,nyumba itajengwa tu wth tym,but gari kwanzaaa
 
Hahah..munkari mi hoii...afadhal uyu bidada kaprove wrong hawa wanaume wa jf....wapi Mzabzab???

yani hii sired imenikosha nyoyo yangu haki ya nani! Wacha nikazimue kwanza! Niitieni vijana wote wa humu !! Aisee mapenzi ni noumaaaaa!!
 
HIVI UNAKAA MKOA GANI MKUU?km out of Dar ntakuelewa
Wakazi wa Dar tunajua umuhimu wa private car,nyumba itajengwa tu wth tym,but gari kwanzaaa

na hizi joto kubanana umeshkilia bomba kikwapa nje haki ya nani naenda kununua mgongo wa chura!!
 

Teh kwel wew njughu
 
Daladala mmepanda wote,bajaj mmepanda wote na kuswampa mmeswampa wote..gari umenunua mwenyewe.huoni hilo ni tatizo??
 
Ukishaanza kuuliza...Kwanini umeachwa basi ujue umeshampoteza. Kwasasa jiulize ni project (demu) gani hujakamua? Kamua mademu wengine wakali na yeye mwenyewe atakutafuta.
 
Ukishaanza kuuliza...Kwanini umeachwa basi ujue umeshampoteza. Kwasasa jiulize ni project (demu) gani hujakamua? Kamua mademu wengine wakali na yeye mwenyewe atakutafuta.
project kwasana tu mwambie huyo
 
Ingawaje hujasema inaonekana umeenda kinyume na mipango yenu mliyowekeana. Aidha mwenzako anataka maendeleo ya kudumu na wewe unafikiria starehe zaidi. Je mlishajenga au kununua hata kiwanja? Je mliafikiana kununua hilo gari?
 
»They say if you luv somethin let it go,if it comes back to you its yours
 

Inawezekana mlikuwa na mipango mingine ya kufanya n u bought a car instead au unaweza kuta gari si sababu...ana sababu nyingine tu.why don't u ask her what the hell is wrong??
 
Point Tiba.
Sikumshirikisha kabisa but i thought itakuwa surprise nzuri ambayo hata yeye angefurahi. Na kweli nilipomuonyesha alionyesha furaha sana na akashangaa ila ndo hivyo baada ya siku mbili tatu ndo akanitwanga na msg.

me naona shida iko hapa!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…