Nimenunua gari kaniacha

Mkuu jipange uza corolla vuta altezza, verossa au brevis..tupia tinted, 20" rims..mziki kidesign, muffler ya ukweli...neon..lights...ammiiini blaza lazima akae...humoooo....Over
 
Mwaka tu nimemudu corola, hizi ni dalili nzuri ila kaniacha.
kuna tatizo kat yenu sitaki kuamini kama gari ndio tatizo labda mmeachana katika kipindi wewe umenunua gari ndo mana unahisi tatizo gari...NGOJA NIKUNONG'ONEZE MKUU "VIP LAKINI NDUGU UWANJANI 6*6 UPO NJEMA NDUGU" usije ukamtafuta mchawi kumbe unajiroga ....mtaachanaje bila sababu wewee? muulize vizur tena mdadisi kifriend zaid had ujue.... MAGOT YANARUHUSIWA KM UKIGUNDUA KOSA TAFADHALI
 
Mkuu jipange uza corolla vuta altezza, verossa au brevis..tupia tinted, 20" rims..mziki kidesign, muffler ya ukweli...neon..lights...ammiiini blaza lazima akae...humoooo....Over

kwahio akishanunua hizo ulizotaja hapo akiachwa utasema anunue nini tena?VX au VOGUE?? ana matatizo mengine sio gari
 
Just recognize she ws a chapter in ua lyf not the whole book. That which is meant to stay, will never leave. Move on.
 
Hahaha! Wacha nicheke kwanza! Haya sasa wanaume mnaosema UKIWA NA GARI Unapata warembo wa mujini KIKOAAAAAAAPIII!!! Shuutu!! Mwanaume mgegedo asikwambie mtu! Pyeeeeeeee! Weee mhudumu nileteee nyingine....!! Hii wikend itaniua wallah ingefupishwa!!

Hahah..munkari mi hoii...afadhal uyu bidada kaprove wrong hawa wanaume wa jf....wapi Mzabzab???
 

When people leave you, or go away from you, it doesn't mean they are bad people, it means their part of the story is over...
#let it go
 

uza gali mrudiane tu.. kama unampenda sana..
 
umekosea mkuu ,ulitakiwa uanze na boda boda kwanza hahahaaaaaaaaaaaaa nimecheka hii topic na majibu yake,labda mkeo kesha foresee gari itakuwa chambo cha wadada pengine warembo kushinda yeye kupewa lift:spider:
 
watu tunatofautiana sana mitazamo ya kimaendeleo. mimi mtu akijenga nyumba kwanza ndiyo baada ya kujenga anunue gari naona anamtazamo wa kimaendeleo , lakini mtu anayenunua gari wakati hana nyumba naona hana mtatazamo wa kimaendeleo. sasa yawezekana na yeye amekuona wewe siyo mtu wamaendeleo ndiyo kakuacha
 
Achana nae ana wivu tu alidhani atapanda kimaisha zaidi yako kwa vile yeye ana K.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…