Hahaha! Wacha nicheke kwanza! Haya sasa wanaume mnaosema UKIWA NA GARI Unapata warembo wa mujini KIKOAAAAAAAPIII!!! Shuutu!! Mwanaume mgegedo asikwambie mtu! Pyeeeeeeee! Weee mhudumu nileteee nyingine....!! Hii wikend itaniua wallah ingefupishwa!!
teh teh teh teh!Labda kwa sababu umenunua corolla. Lol
Heehehehehe
Tatizo wanaume mnadanganyana
Ukiwa na gari unawang'oa tu.... Kikowapi sasa
Ila jichunguze vizuri
Wewe kijana hebu liangalie hili suala kwa mtizamo mpana kidogo. Umesema mmekuwa wote tokea shule mpaka mnaanza maisha. Sasa ni kwa nini hakuache eti kwa kuwa umenunua gari? Yeyote angetarajia afurahi kwamba angalau sasa mna usafiri lakini imekuwa kinyume. Kwa mtizamo wangu inawezekana hakufurahi kwa kuwa haukumshirikisha katika hiyo mipango au angalau hukuwahi kumdokezea juu ya mipango ya kununua gari. Yeye amekuwa anajiona kama ni sehemu yako na unapoamua kufanya kitu kikubwa kama hicho bila kumshirikisha, anaona haumthamini.
Je ulimshirikisha kanla ya kununua hilo gari?
Tiba
Mpango wa nyumba je?au tayari unayo??labda ameona unafikiria luxurious life kuliko kujijenga kwanza.....ni mtazamo tu
Point Tiba.
Sikumshirikisha kabisa but i thought itakuwa surprise nzuri ambayo hata yeye angefurahi. Na kweli nilipomuonyesha alionyesha furaha sana na akashangaa ila ndo hivyo baada ya siku mbili tatu ndo akanitwanga na msg.
sisi wanawake tunapenda magari, ila sometimes gari sio kila kitu kwenye mapenzi[/COLOR]. .