Nimenunua ADSL Modem mpya ya NETGEAR N300 ipo Faster | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimenunua ADSL Modem mpya ya NETGEAR N300 ipo Faster

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mzalendo80, May 12, 2011.

 1. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #1
  May 12, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Jamani wana JF leo nimefurahi sana kupata Modem mpya ambayo inarahisisha mambo yangu pamoja na biashara zangu. Sasa Internet kwangu ipo faster kuliko ilivyokuwa mwanzo baada ya kubadilisha Adsl Router kwani hata Wireless yangu ipo faster pia na range yake pia imeongezeka baada ya kui-configer.

  Halahala wa JF Jioni njema
   
 2. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #2
  May 13, 2011
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  eeeh, basi hongeraaa
   
 3. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #3
  May 13, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  ni ya mtandao gani hiyo
   
 4. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #4
  May 13, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Tuelezee vyema basi kwa undani aina ya hiyo modem
  inauzwa bei gani na inapatikana maduka yepi kwa dar si lamu
   
Loading...