Nimenasa!

Unakimbilia wapi ww? Muoe huyo huyo si anakujali kwan tatizo nn? Kuhusu malengo mtapanga nae kwann uangaike?
 
umenasa eeenh!...jinasue tu mbona ipo easy tu si huna mpango nae? leta demu ghetto kama kawa akilianzisha unamchana tu "sina mpango na wewe"...haahaahah mchunguze kwanza uone je, ana njuguyugu?,,,kama anazo hama nyumba tu atakusumbua sana

Tehe tehe...poa
 
Unakimbilia wapi ww? Muoe huyo huyo si anakujali kwan tatizo nn? Kuhusu malengo mtapanga nae kwann uangaike?

Hahaha...kirahc rahc tu ivo....
 
hapo sio wewe umenasa bali yeye,mbona rahisi tu kumuacha hivyo mwambie nina mwanamke wng wa future mimi na wewe it was just an accident.
 
Hehehe..eti umejiblock. kama ulimueleza ukweli sioni tatizo jembe..... we kamata ata baa medi peleka mtambulishe kuwa ndio mchumba wako. Unachoogopa sikione hapo. Unakula wote tu ili mradi ajue kabisa akimuona mwingine anaingina apige kimya kama hawezi achape lapa. usijiue na presha kijana mdogo hivyo.
 
Da! Its a big ishu hata mie nimenaswa ki hivo hivo hata mie nakosa cha kufanya!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
'The biggest coward of a man is to awaken the love of woman without intention of loving her'... well said HOE
 
hapo sio wewe umenasa bali yeye,mbona rahisi tu kumuacha hivyo mwambie nina mwanamke wng wa future mimi na wewe it was just an accident.

Sure..wazo zuri
 
Hahahaha...
 
Da! Its a big ishu hata mie nimenaswa ki hivo hivo hata mie nakosa cha kufanya!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Mwenzio tayar nishapata muarobaini...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…