Nimenasa kwenye ulimbo wa ndoa natamani kutoka nashindwa

Ila Ww Liverpool mimi nakukubali sana mkuu 😂😂😂😂. Ila nkuambie kitu?? Pamoja na ujanja wako woteeee.. utaingia mahali siku moja kimapenzi.. na utashindwa kutoka. Tena unaweza umizwa kweli kweli. Kumbuka Kila shetani na mbuyu wake mazee 😂😂😂
Kuna mmoja tu mtoto wa Kitanga alikua jirani kabisa kujaribu ila nilimsanukia fastaaa.

#YNWA
 
Duh pole mkuu! Ila hajawahi kukwambia sababu kabisa? Ama alishawahi kukwambia before ukamuignore sababu ni vitu vidogo vidogo? Je ukimuuliza anakaa kimya au anajibu?

Ila Huyo mwanamke naye aache gubu ,suluhisho ni kuongea, kuombana msahama na kusonga mbele. Kununiana siyo vizuri kwa ustawi wa familia.
Amkaze vizuri.mahusiano yanarudi.
wakati mwingine gubu la mwanamke linakuwa kali kama hatombwi bara bara.......
 
Kumbuka kabla ya kumuoa hukuwa peke yako mpiga sound, na hukuwashinnda wapiga sound wengine lkn wewe ulimvuta hisia zake, sasa hisia zake zikibadirika anawakumbuka wale wengine wapiga sound wenzio huenda akaanza kuchakatwa, na wengine

Isipokuwa omba tu apate achakata mwenye huruma na ndoa yako ndiyo ataanza kubadirika na utaiona ndoa yako kana kuwa ndo imeeanza upya , lkn atakuwa na makasiriko makali ya kipindi tu hasa anapotaka kwendea mchakato akirudi fresh Ila kuumwa ,na kuchoka ndo itakuwa siraha yake

Why are you so stupid?!?

Yes you Sir!!!
 
Mkuu pole Sana,binafsi napenda Sana amani ya moyo kuliko kitu chochote,hivyo kivyovyote fanya ufanyalo kuitafuta amani ya moyo,sasa juu ya swala lako japo sijajua ni ndoa ya Imani gani ,Ila Kama ndo hizi za Hadi kifo kiwatenganishe Basi umekwisha ikiwa utataka kufuata kauli za Hadi kifo kiwatenganishe.

Binafsi nimefunga hizo ndoa Ila kamwe siwezi kuvumilia upuuzi wa namna hiyo,maumivu ya moyo Ni hatari Sana ,Yanaua,amini utakufa ikiwa utaendekeza hiyo Hali,pambana kuitafuta amani ya moyo ,maisha ya duniani ni mafupi Sana yakupasa uyaishi kwa amani na furaha.

Nahili hata mke wangu analijua,nashukuru hatujawahi nuniana zaidi ya Lisaa limoja,na ikiwa yeye ndo atanununa kauli yangu huwa ni moja tu,nenda kwenu kapumzike ,ukipata amani ya moyo ndo urudi.

Ndoa za kununiana ni uchuro mtupu,matokeo yake kuombeana vifo ili mwenza mmoja apate amani,mkuu itafute amani ya moyo kwa gharama yoyote,usiache mtu awaye aondoe furaha ya moyo wako

One way opinion; percent
Reality 0.01 percent
Current truth; percent
Real reality; 200 percent
Other; .....
 
Sijui tatizo sasa mwaka na kitu,huwezi amini nakonda mbaya kuishi na mtu ndani lakini kama hatufahamiani vile.na huwezi fanya suluhu na mtu ambae hakuambii umekisea wap.
Tumia akili, Kwan kabla ya kumuoa hukujua akikasirika ana kuwaje?
 
Ndio hizo hizo.. si unaona jamaa ndoa ina mvuruga na anashindwa afanyeje.. ingekuwa ndoa niliyoisifia angekuwa ameshapata solution na amani angekuwa nayo
Kwaiyo solution ni kutoa Talaka 3 au talaka rejea?
 
Kurudi hataki anasema nikishindwa nisepe yy atakaa kwenye nyumba ya mtoto wake ambae ni mtoto tuliyezaaa
Mke wako anaoneka alikuwa ana taka ndoa alikuwa hakutak wewe , kashaipata ndoa kwaiyo kamkumbuka Ex wake, Mwanamke ukimtongoza Kwa kutumia neno ndoa halafu ukaja kumuoa bila kukaa kwenye uchumba Kwa kipind kirefu lazima migogoro itatokea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom