Nimenasa kwenye ulimbo wa ndoa natamani kutoka nashindwa

Mimi ni kijana ambaye tayari nina miaka 30, nilifunga ndoa yangu mwaka 2019. Ndoa yangu imekuwa ya furaha kwa miezi 6 pekee baaada ya hapo mambo yaliharibika na sijui ni kwanini.

Nakumbuka siku moja natoka zangu kazini namkuta wife kajamu, nilipouliza kulikoni sikupata jibu, kuanzia hapo hatuna mawasiliano zaidi ya kuwasiliana kama kuna kitu kimepungua nyumbani nitapewa taaarifa.

Uchumi wangu umeyumba sababu ya hizi vurungu, nimefunga nakuomba hakuna ndoa haitulii kuna wakati nikiona mtu na mke wake wakitembea njiani huku wakipiga stori na kucheka naona nijambo la ajabu nijiuliza inawezekanaje hii?

Nimejaribu kushirikisha ndugu zake bado hatoi majibu nini ambacho nilimkosea. Kiukweli nimestuka baada ya watu wawili kuniuliza kwanini nakonda, kwanini sina amani kama zamani?

Mimi ndugu zangu ni bingwa wa kuvumilia matatizo lakini kwa hili nimenyoosha mikono nimeamua niondoke nikaaanze maisha mapya ili nipate amani ya moyo wangu, Mungu ataibarika kazi ya mikono yangu nitainuka tena.
Mwanamke akinuna we nuna mara tatu zaid yake , utamwona anashuka ye mwenyew
 
Kuna unkwons nyingi sana apo kijana ajataka kufunguka, hivyo basi atuwezi kumpa ushauri mzr lkn kuna mambo machache yanaweza kua sababu
Jambo LA kwanza ni kumfikisha kibo na mawenzi. Ndugu wanajukwaa kwa heshima na taadhima naomba kuwaambia kitu kimoja kwamba km uwezi kumfikisha kibo na mawenzi mwanamke basi usioe narudia usioe piga tu mipopoma mtaani sahau, na km utaamua kuoa basi ndio ukubali kusaidiwa.maana inawezekana mkeo zaman alikua na mwanaume aliekua anamfikisha ww uwez ndio maana amekua ivyo.
Jambo LA pili. Umeshindwa kutimiza ahadi, mkiwa mnadate inawezekana ulimuaidi maisha mazuri utasaidia ndugu zake na mambo km hayo lkn Leo aufanyi may kwasababu auna kipato cha kukuwezesha kufanya ivyo au utaki kufanya ivyo.
Jambo LA tatu. Mkeo bado ana utoto na ujinga. Mkuu kizazi cha Leo sio tu kwamba akuna waoaji Bali na waolewaji nao amna, wadada wanaitafuta harusi kuliko ndoa ni wajinga kwakifupi na haswa awa wa 25 kwenda chini, inabidi ww mwenyewe umjenge umfanye aweze kua mke vinginevyo mtashindwana.
Jambo LA nne. Hujui mapenzi, mwanamke anaitaji kudekezwa, kujaliwa, kupewa zawadi, kusifiwa, kushukuriwa, ukienda job pitia UA rudi nalo MPE zawadi kesho rudi na pipi ukisafiri ukirud mnunulie zawadi km parfyumu night dress chupi skin tight na nguo zingine km magauni, cku zingine mtoe out msikilize anapoongea muulize km unamkwaza kwa lolote hata km amjagombana lkn mwisho wa cku mT ...0 vzr muandae kisaikolojia tangu ukiwa job kwa kumtumia SMS zenye kutia nyege tuone km akutakua na amani.
Mwisho wa siku nashauri wanaume tutafute ela na kwenye kitanda tujitume kweli kweli maana watu wanawapakia mikongo mwisho wanakua sugu.
Na usikubali kuitwa shujaa wa mapenzi huo ni ufala narudia tena huo ni ufala
Naomba kuwasilisha.
 
Inaonekana hujamzalisha, inaonekana hujampa mimba.

Ikiwezekana ongeza mke wa pili ufute machungu.

Umesema pia umefunga na kuomba lakini mambo ni yale yale, mungu hasaidii mkuu, kwenye hali kama hzo mungu hana msaada.
Daaah aisee 😂😂😂😂😂
 
Kalishwa backgroun yako na kama ulikua na mtoto nje haukumwambia bas amejua ndpicha lipo apo
 
NIni kimekufanya uwaze kwamba umekosea kitu? Hajawahi kuwaza labda hakutaki? Anataka uchape mwendo yeye abaki na nyumba?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom