Nimenasa kwa mchina

Wachina mbona watu Poa tu. Tunaishi nao.tunafanya nao Zinaa Sana tu na chakula wanatupikia, tunafanya nao Kazi hapa Canada.. Ni watu Poa.. Ukiwa mtu Wa kispoti spoti huo ni udhaifu... Wachina Poa Sana. Labda wakiwa huko Bongo wanawachezeeni
Mkuu naomba wachina wako poa huko Canada wanaokuja bongo wanatafuta pesa wako kimaslahi hivyo wanamake sure wanapata wanaume bongo ili wapewe uraia waendeleze michakato yao bila usumbufu wa mara kibali kimeisha mara muhamiaji haramu na vingine kama hivyo
 
Mkuu hata huyu mchina anataka kibali tu hata kama mm akijichanganya nazuga nae nikipata kibali tusijuane
 
Mchina hawezi kuchukua uraia Wa Bongo.. Kwani Akichukua uraia Wa Bongo anapoteza wa kwake na mchina hawezi kukubali kuupoteza uraia wake kwa ajili ya nchi maskini ya dunia. Wanachotaka wao Ni urahisi Wa kupata vibali vya kuishi na kurenew bila matatizo
 
Wanaume mtaacha lini kuchezea mabinti za watu!?????? kama huna mpango na mtu siunasepa mapema? yakiwafika shingoni ndio mnastuka, we muoe tu hakuna namna
Nimekoma cheupe,kikombe hiki kikinipita sirudii tena.
 
Jifunze Karate na wewe ili wakikuzingua utembeze [emoji109] [emoji109]
Wako kama kumi na tano mkuu, labda niwaombe masteringi wa kihindi wanifundishe jinsi ya kupiga watu thelathini bila kuumizwa!
 
Mkuu huyo hajakupenda wewe kama wewe bali mshede wako! inasemekana wachina wengi ni vibamia!
Angalau leo nimejua sababu ya kung'ang'aniwa huku,manake hata tukiwa tunaongea tu macho yote kodo kwa Faru John.
 
Kwa heshima ya reli ya Tazara,na uwanja wa taifa ambao ni kwa hisani kubwa ya wachina sitakuhadithia nilichokiona.
 
Utakoma tunasubiri mrejesho tuje kukuona Hospital gani mmezoea kuwadonoa mademu wa kibongo umeingia chaka sasa
 
Umeshawamiss akina Mwajuma.....
Tulia hapo hapo
 
Umeitunga vizuri saana hii!ila umeficha ulipo!lakini kikubwa ujue anacho anachokitafuta kwako!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…