miss gisenyi
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 699
- 498
jiran ubaguz huo kwahyo sisi wanene tuna nn???NIENDELEE KUKUTISHA wale watu hawajui Mungu hawana hofu.. andaa kaburi hahahaha,,,.. me napenda mapenzi yao yani ni full kubebika nakufuatana kama njiwa ... mkuu ukitulia na huyo mchina utaenjoy wanajua kujali wanaume kweli aisee, jitahidi tu asinenepe ... mpende bwana .. samahani umeshakula mzigo ilikuwaje?
jamani kumbe ulienjoy eeeh? niadisieHata mimi nashangaa mtoa mada hajaongelea hilo. Na sio barid tu. Wale watu ni wadunchu kila kitu. Yani ni viduchu hadi raha. Daaah nimemiss sana nilipokua Japan chuo
hapana jirani wachina wakinenepa wanakuwa kama mdudu .. katapila lile linalotembea nyumanyuma linakaa kwenye mboleajiran ubaguz huo kwahyo sisi wanene tuna nn???
Nothing my dear!!.jamni nini lakini?
afadhali ulitaka kuninyima uhuru wanguNothing my dear!!.
Wachina mbona watu Poa tu. Tunaishi nao.tunafanya nao Zinaa Sana tu na chakula wanatupikia, tunafanya nao Kazi hapa Canada.. Ni watu Poa.. Ukiwa mtu Wa kispoti spoti huo ni udhaifu... Wachina Poa Sana. Labda wakiwa huko Bongo wanawachezeeniMkuu mchina hajakupenda wala nn anazuga ili umuoe apate uraia na kufanya shughuli zake za kiuchumi bila bughudha maana atakuwa sana na watz kwa hiyo ww ni kama kinga yake tu, wachina sio watu wa kispotispoti unavyowafikiria ww
Chukua mzigo jumla jumla kamanda... Mpende akupendae... Remember this. Wachapa Kazi Hao.. Onyo... Ila ukiwa naye mambo Ya mchepuko sahau lasivyo utajikuta ktk matatizo makubwaSiku moja nilienda kung'oa jino kwenye hospitali moja hapa town kwetu,kwa bahati kumbe anayehusika na shughuli hiyo ni dada mmoja wa kichina nikapewa huduma nakuondoka,baada ya shughuli ile tulikutana tena kwa bahati kwenye mgahawa mmoja hapa mjini hapo ndo mazungumzo yakaanza,mazungumzo yakaanzisha uhusiano,uhusiano ambao umekuwa kama kaa la moto kwangu, kwani mi nilikuwa napita tu kumbe binti wa kichina ndo kakolea,binti anadai ndoa keshawaambia wachina wenzie kama 15 hapa mjini na wengi wao wanacheza karate.Nashindwa nimkimbieje kwani mi nimeajiriwa ajira ya kudumu mahali fulani hapa mjini kuhama ghafla siwezi.Na nikiona mazoezi ya kung fu na karate ya wale jamaa zake ndo kijasho kidogo hakiniishi kwapani.....kwa kifupi nimekwama, kumuoa siwezi,kutoroka siwezi,kumuacha naogopa kichapo cha wenzie,yaani hata sijui nifanyeje!!!
Nakubaliana na Wewe Mkuu 100%. Mambo Ya nyumba ndogo na mchepuko asahauNIENDELEE KUKUTISHA wale watu hawajui Mungu hawana hofu.. andaa kaburi hahahaha,,,.. me napenda mapenzi yao yani ni full kubebika nakufuatana kama njiwa ... mkuu ukitulia na huyo mchina utaenjoy wanajua kujali wanaume kweli aisee, jitahidi tu asinenepe ... mpende bwana .. samahani umeshakula mzigo ilikuwaje?
.....hususani wa Kichina!Fanya yote lakina ogopa kuchezea akili ya mwanamke
kabisa wanganda vibaya mnoNakubaliana na Wewe Mkuu 100%. Mambo Ya nyumba ndogo na mchepuko asahau
Fikra finyu ndugu. Watoto ni Watoto tu mbele Ya mungu. Acha hizomixture ya mwafrika na mchina vitoto vinakuwa vichina pori " I hate that mixup..!
Cheupe dawa wa ukweliWanaume mtaacha lini kuchezea mabinti za watu!?????? kama huna mpango na mtu siunasepa mapema? yakiwafika shingoni ndio mnastuka, we muoe tu hakuna namna
Wengine huwa wanataka uhusiano for strategic reasons, inawezekana ame-eye fursa mahali na itakuwa rahisi kuitap akiwa na partner wa kibongo.Kwani ana mimba? Halafu mbona nasikia wachina hawataki mwenzao kufunga ndoa na mtu mweusi? Imekuwaje kuna mabadiliko? Mwisho una hakika kawaambia wenzake au mkwara tu?
Kwani ana mimba? Halafu mbona nasikia wachina hawataki mwenzao kufunga ndoa na mtu mweusi? Imekuwaje kuna mabadiliko? Mwisho una hakika kawaambia wenzake au mkwara tu?
bado hujamfikia shigongo kwa utunzi..Siku moja nilienda kung'oa jino kwenye hospitali moja hapa town kwetu,kwa bahati kumbe anayehusika na shughuli hiyo ni dada mmoja wa kichina nikapewa huduma nakuondoka,baada ya shughuli ile tulikutana tena kwa bahati kwenye mgahawa mmoja hapa mjini hapo ndo mazungumzo yakaanza,mazungumzo yakaanzisha uhusiano,uhusiano ambao umekuwa kama kaa la moto kwangu, kwani mi nilikuwa napita tu kumbe binti wa kichina ndo kakolea,binti anadai ndoa keshawaambia wachina wenzie kama 15 hapa mjini na wengi wao wanacheza karate.Nashindwa nimkimbieje kwani mi nimeajiriwa ajira ya kudumu mahali fulani hapa mjini kuhama ghafla siwezi.Na nikiona mazoezi ya kung fu na karate ya wale jamaa zake ndo kijasho kidogo hakiniishi kwapani.....kwa kifupi nimekwama, kumuoa siwezi,kutoroka siwezi,kumuacha naogopa kichapo cha wenzie,yaani hata sijui nifanyeje!!!