Nimenasa kwa mchina

Mambo mengine umeshaonja au maneno mengi
 
Mkuu huyo hajakupenda wewe kama wewe bali mshede wako! inasemekana wachina wengi ni vibamia!
 
Aisee, anaruka hadi juu ya dari halafu anatua palepale kwenye mshimbita, duh!!
 
Jifunze Karate na wewe ili wakikuzingua utembeze [emoji109] [emoji109]
 
Wanaume mtaacha lini kuchezea mabinti za watu!?????? kama huna mpango na mtu siunasepa mapema? yakiwafika shingoni ndio mnastuka, we muoe tu hakuna namna
 
Umeona eh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…