Nimemwambia mke wangu tuachane halafu turudiane

Sasa huyo ni mkeo au ni mke wa Familia?.

Mwenye mamuzi ni wewe muoaji. Mbinu uliyoitumia ni ya mzunguko sana, ni kama wewe unashindwa kutoa misimamo yako kwa ndugu zako.
Kuna familia hata ukitoa msimamo gani utaangukia pua, watalazimisha tu, so misimamo inategemea na familia uliyotokea
 
Baada ya ndugu zangu kuonyesha wazi kuwa hawamtaki mke niliyemuoa nilikaa chini na mke wangu tukapanga jambo.

1. Tulikubaliana kujifanya tumegombana sana na kila mmoja ameridhia tuachane.

2. Tukaanza visa ili na ndugu waone sasa kuna mtoto wa shangazi yangu ambaye ni binamu wangu anakaa kwangu. Nikamwambia mke wangu amfukuze beki tatu na alafu awe hapiki wala kufanya kazi yoyote. Atafanya huyu ndugu yangu.

3. Nikamwambia wife aanze kuchelewa kurudi na kama akitaka ale huko anakofanya kazi na mimi ntajua la kufanya.

4. Wife akirudi asiongee na mtu na mm ntafanya hivyo yaan tuwe kama hatuongei kwa wiki tatu. Na mimi ntakuwa nalewa kila siku.

5. Baada ya izo wiki tatu Wife asafiri kwao Morogoro nibaki mwenyewe. Huyu ndugu yangu atawafikishia habari.

6. Sababu hawamtaki na mimi nampenda wiki mbili baada ya Wife kusafiri kwao nawaambia ndugu zangu wote kuwa nimeachana na Wife.

7.Niliomba Uamisho mkoani. Dodoma na nimepata kwa hiyo nampitia Wife Moro kimya kimya tunaenda Dodoma na hakuna pimbi atakaa afike kwangu.

8. Mambo ni mengi. Leo siku ya pili tangu tumeanza mchakato wa kuokoa ndoa yetu.

#Tairus #Bella Ciao
Mbaya zaidi mnapanga mbinu zote hizi mnaenda huko na bado mkeo anakuja kukucheat[emoji23][emoji23][emoji23] muda utaongea
 
Kuna mbegu mbaya tayari ameshajiandalia huyu jamaa. Tena siku akimfumania, moja ya utetezi wake itakuwa- Si ndugu zako hawanipendi?. Achana na mimi.
 
Tena ukimfumania, moja ya utetezi wake itakuwa- Si ndugu zako hawanipendi?. Achana na mimi.

[emoji1787] [emoji1787] Ngoja muda ni hakimu mzuri...mapenzi ya vificho mbona magumu sana, na umeongea ukweli mwanamke kwake hiyo ndiyo itakua silaha yake akifanya ujinga tu anaiitumia mbona ndugu zako hawanipendi umewaza mbali sana mkuu
 
Wanaume wa ainayako hua wanaishi maisha magumu sana kwenye ndoa, na mwesho wenu hua mbaya sana maana mkeo ipo siku atachoka na maisha ya sanaa na atakuacha baada ya kugundua kwamba ndugu zako wana mamlaka na nafasi kubwa kwenye maisha yako kuliko yeye.
Kwakifupi huyo mama hana mume anae jielewa, na haujui jukumulako kama mwanaume aiseeeeee.....
Ivi ujue kwamba mke hufurahia pia mume atakae mlinda sikuzote haijalishi nini kimetokea, now kwako mkeo hana security
 
Baada ya ndugu zangu kuonyesha wazi kuwa hawamtaki mke niliyemuoa nilikaa chini na mke wangu tukapanga jambo.

1. Tulikubaliana kujifanya tumegombana sana na kila mmoja ameridhia tuachane.

2. Tukaanza visa ili na ndugu waone sasa kuna mtoto wa shangazi yangu ambaye ni binamu wangu anakaa kwangu. Nikamwambia mke wangu amfukuze beki tatu na alafu awe hapiki wala kufanya kazi yoyote. Atafanya huyu ndugu yangu.

3. Nikamwambia wife aanze kuchelewa kurudi na kama akitaka ale huko anakofanya kazi na mimi ntajua la kufanya.

4. Wife akirudi asiongee na mtu na mm ntafanya hivyo yaan tuwe kama hatuongei kwa wiki tatu. Na mimi ntakuwa nalewa kila siku.

5. Baada ya izo wiki tatu Wife asafiri kwao Morogoro nibaki mwenyewe. Huyu ndugu yangu atawafikishia habari.

6. Sababu hawamtaki na mimi nampenda wiki mbili baada ya Wife kusafiri kwao nawaambia ndugu zangu wote kuwa nimeachana na Wife.

7.Niliomba Uamisho mkoani. Dodoma na nimepata kwa hiyo nampitia Wife Moro kimya kimya tunaenda Dodoma na hakuna pimbi atakaa afike kwangu.

8. Mambo ni mengi. Leo siku ya pili tangu tumeanza mchakato wa kuokoa ndoa yetu.

#Tairus #Bella Ciao
job is here
 
umetujulisha utaratibu wa kula

vipi kuhusu utaratibu wa kulala?
 
Hili sio tope ni uteleze wa mpwamanga....
Mwanaume unaingiliwa kwenye maamuzi then unajiita dume...
Hata mama angu mzazi anajua msimamo wa mwanae kamwe siwez kutafuta kwa jasho then nile kwa tabu na shida... Hata vitabu vya dini ilo halimo😎
 
Back
Top Bottom