Nimemuuliza tu!kawa mkali kama pilipili

Nimemuuliza tu!kawa mkali kama pilipili

Hebu mpigie sasa hivi uone kama itakua busy???
 
mhhhh.....hapo kuna ulakini....siku za mwizi arubaini...utambamba tu...take it easy maana hata ningekuwa mi ningeuliza....labda aliweka loud speaker akiongea huku akioga ha ha ha:smile-big::smile-big:
 
Msamehe bure tu labda ana mambo yake hayako sawa,ila kuhoji siyo mbaya, au na ww ulimuuliza kwa ukali sana mpka ikabid naye akasirike? embu tuambie ulimuulizaje?
 
Simu tu jamani...yaani a phone call ikuwehushe?
 
Msamehe bure tu labda ana mambo yake hayako sawa,ila kuhoji siyo mbaya, au na ww ulimuuliza kwa ukali sana mpka ikabid naye akasirike? embu tuambie ulimuulizaje?

No sikuuliza baada ya kumpigia nilimuuliza anafanya nini?akajibu ametoka kuoga hapo ndo nikahoji mbona simu ilikua inaongea iweje aseme anatoka kuoga?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom