yaani akute minong'ono ndani na mlango umefungwa aondoke!we achana utani bwana!unaingia na mlango mzima mzima baadaye utayamaliza na baba mwenye nyumba kuhusu mlango wake!...Nilidhani utasema ulifika mlangoni ukakuta umebanwa kwa ndani na minong'ono humo.Ukaondoka ukarudi kuuliza ...
yaani akute minong'ono ndani na mlango umefungwa aondoke!we achana utani bwana!unaingia na mlango mzima mzima baadaye utayamaliza na baba mwenye nyumba kuhusu mlango wake!
kaka, mengine jifanye hukuyaona wala kuyasikia. Waweza jiona weye baunsa ukaingia na mlango baadaye ukatoka umelowa chepe chepe. Aibu mara mbili. Utamsahau huyo mwanamke na mji utatamani uhame. Kakae mbali kabisa uchungulie anayetoka. Kwa nini niumizwe na asiyemwaminifu? Ukirudi jifanye ka hukuona vile
Hii inanipa wasiwasi ki ukweli
Kaliwaaaaa hahahahaaaa haya bana
Ukiona manyoya?Nilimpigia simu nikaikuta inatumika nikakata nikijua akimaliza atanitafuta hakunitafuta nilivyokuja kupiga akaniambia anatoka kuoga nikamuuliza mbona simu yako ilikua inaongea?duh kawa mkali mpaka mahusiano yanakaribia kuvunjika
Je ni vibaya kuuliza kama unahis ndivyosivyo ili usionekane mfatiliaji sana au uonekane mzungu usiejari mambo hayo?
Ndiyo hvyo ili kujiridhisha unapiga tena na tena.....anyway chunguza kinachoendelea labda kuna yanayojiri nyuma ya PaziaAsante sister but nilivyokuta iko inatumika nilikata badae nikapiga akadai alikua bafuni hapo ndo utata mh may be netwark sasa