nimemuoooonaaaa.......

nimemuoooonaaaa.......

mh!
vijana wambea humu...
madodoso kama karani wa sensa...LOL
 
mnataka kujua????

kila mtu aliuchuna kama vile hatujuani.....lol:redface::redface::redface::redface::redface::redface::redface::redface::redface:

You are hiding something!!, kwa ninavyomjua The boss!!?
 
nimekufuma aje wapi sasa,
na wewe umeingia anga za akina bishanga eeh.

hapana la'aziz ni mdogo wangu ndie nataka wawe pamoja. Me wewe unanitosha kabisa sweetheart. My wife wangu tutulizane.
 
Nimeona avata yake kule kwa mange,nikasema duuuuuuu na kule ndio huyu au mwingineeee, eti mudy sijui wa wapi vile mweeeeeeeee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom