NIMEMUONA COMRADE KINANA

Omuchimati

JF-Expert Member
Aug 23, 2014
427
202
Nimemuona Comrade Kinana kwenye mkutano mkuu wa RPF wa kumpitisha mgombea wao wa URAIS,ambaye ni Mhe Paulo Kagame....amepita kwa kura nyingi tena kupeperusha bendera ya chama chake katika kugombea nafasi ya Kuiongoza Rwanda tena.

Hongera Comrade Kinana umetoa hotuba nzuri sana iliojaa maneno ya busara na yenye kujenga kati ya mataifa yetu mawili,hakika chama cha mapinduzi bado kina hazina ya viongozi walio bora,nawashauri wana Chadema chukueni nafasi ya kujifunza na kukua, badala ya kuendelea kubishana na kupiga porojo sisizo na tija,muungane na chama cha mapinduzi kuleta maendeleo katika nchi ya Tanzania.
 
Mtanzania yoyote yule mwenye akili timamu lazima tu atakuwa na upendo na Wanyarwanda. Pongezi nyingi sana kwa Chama kizuri kabisa si tu Afrika bali duniani kote na pengine hata huko Mbinguni cha CCM ( Chama cha Mapinduzi ), Mwenyekiti wake wa Taifa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jemedari Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Serikali nzima ya Tanzania kwa kutambua umuhimu wa nchi ya Rwanda na kudumisha udugu wetu mkubwa wa Kikanda. Rwanda inaihitaji sana Tanzania kwa Maendeleo yake na tunajisikia faraja mno kuona hasa Viongozi wakuu wa CCM wakiwa wanalitambua hilo. Hakuna kipindi ambacho Wanyarwanda sisi tunafuraha na Tanzania kama wakati huu nchi ikiwa chini ya Jemedari na Mwamba Dkt. Magufuli.

Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki Rwanda
Mungu ibariki Afrika ya Mashariki
Mungu ibariki Afrika.
 
Kwa kweli uhusiano wa mataifa haya mawili uzidi tu kuimarishwa maana kule Kigali nina mchumba wangu hongera comrade kinana [Chadema damu mimi]
 
Back
Top Bottom