Nimemuomba aje tuishi, tufunge ndoa hataki

Akyamama mi nimebaki kucheka tu hapa na huo usimuliaji wako!!
 
Hahaaaa eti ukila sharti na wewe uliwe

Ndiyo hiyo, alishaitamka mstaafu wetu mkuu, si unakumbuka hata juzi anasema eti tunasema hachomoi wakati hajachomeka chochote.
 
Yaani mkwere mswahili kweli hadi anaboa, nilimsikia nikahisi kinyaa kabisaa, kila siku nawalaani kina lowasa na rostamu kutuwekea huyu kiumbe aisee
 
Wadau nawasalim,

Kuna mshikaji wangu tulikua tunakaa gheto moja 2005_2007 tuliishi kama ndugu kwa kweli, bahati mbaya 2008 akatangulia mbele za haki.

2010 kuna mdogo wake wa kike aliewahi kututembelea siku za nyuma wakati kaka yake yupo hai akanipigia simu kuwa anaomba kuja mjini afikie kwangu aje kujaribu maisha town, kwa kuwa kuna mdogo wangu wa kike niliekua naishi nae hapo nikaona haina shida aje tu wawe kampani moja.

Akaja, akajiunga na kozi ya hotel mgmt, wakawa hawaishi kugombana na mdogo wangu, yule binti akatoka kwangu na kwenda kuishi kwa ndugu mmoja wa ukoo, lakini ikawa kila mara anafika kazini kwangu kuomba hela za kujikimu, baadae akajiunga kwa certificate of business administration, alinisumbua sana wakati wa kozi hii, maana ada hana ikawa ni kuunga unga tu, nilimsaidia sana, hadi akamaliza

Sasa amejiunga tena chuo kwa ajili ya diploma in business admin academic year iliyoanza November nadhan, akalipa pesa kidogo tu akawaambia December atapeleka zingine, sasa amekuja kwangu juzi, huwa ananiita kaka, akasema ""kaka nisaidie fedha kiasi nikatatue shida za shule, sina hela ya hostel, fees, transport, na nimezuiwa kuingia class.

Nikamwambia, ""mama"" nimeshakusaidia sana huko nyuma, sijanufaika na chochote, sasa basi huna haja ya kuhangaika kiasi hicho, fanya hivi beba mizigo yako yote uje tuishi, tufunge ndoa tuishi kama mke na mme, nitagharamia elimu yako hata hadi degree ukitaka, Chuo unaweza kusoma huku ukiwa umeolewa, na bahati nzuri nimeshamaliza nyumba nimehamia tayari, njoo ujinafasi.

Cha kusikitisha akaanza kujiuma uma, ooh nina mtu wangu, yakaenda yakarudi, na ushenzi mwingine mwingi unaofanana na huo,
Miaka yote niliyokua nakusaidia maisha kama mdogo wangu huyo mpenzi alikua wapi, ingawa nilikua namsaidia kama mdogo wa marehemu rafiki yangu lakini sasa gharama zimeshakua kubwa, pia nami kama mwanadam niliekamilika nimeona nimsaidie kwa muoa hata roho ya ndugu.yake itapumzika kwa amani, anaanza ngonjera.

Mm hadi sasa nimekua na complications nyingi kwenye mapenzi sasa nikaona bora nimchukue huyu binti, siwezi kumlipia hizo gharama kabla ya kumuoa maana nawajua wasichana vizuri atakuja kunigeuka akamaliza chuo, ila nikimuweka ndani, nikapiga na mimba moja mbili hatakua na ujanja tena wa kunigeuka.

Achague moja asome kwa mateso hivyo hivyo kwa kuomba omba, au aje watu wale mpunga asome kwa starehe huku akipunga upepo wa ununio beach nilikohamia.

Au wadau mlikua mnasemaje?

Mmmhhh mdogo m2 aliwatembelea 2010 wakat kaka ake yuko hai.uku ushasema kafa2008
 
Acha hzo kama kumsaidia msaidie kwa moyo moja.'tenda wema uende zako'...kama si hvyo yatakurudia2 aminii
 
Hivi unataka kumuoa kwa kumpenda au kulipwa fadhila?? Au mna mahusiano tayari ila bibie anazingua?? Kama unasaidia watu ili upate malipo fulani basi huo sio msaada, ifunze kuvaa viatu vya men zoo angekuwa ni dadako au mtoto wako anafanyiwa hivyo je???
 
If I was that woman , I would absolute never marry you .. So she is good kwa kukataa.. Ndoa is not something that because someone else wants it let me do it to make her/ him happy or because you help me then let me marry you , no waay .. Marriage is about more than that.. So if you want just help her without expect nothing back from her... Thanks..
 
Hahhahahahaha....dah!imebidi nicheke tu jamaa unavyotoa hii story..
 
uyo bint ametumia busara sana...angeweza kukubali ndoa na akafanya yake na akimaliza degree asepe zake...ndoa kitu gani bhana!!!

in short hakupendi na unaonekana kweli upo complicated kwebmny relation zako na hauko romantic ..MTU mpaka unajenga na kuhamia huna ata mchumba?loll hufai ata bure. .
niache mtoto wa watu km unamsaidia sawa. hutak muache

Umemaliza kila kitu.
 
Huu ni udomo zege sasa ....

Zaidi ya udomo zege, unajua kuna ile aina ya watu wako successfull ila hawako interesting hataaaa, yaani hata ujilazimishe huwezi mpenda! I think huyu mleta mada aweza kuwa mmoja wao.
 
Mkuu wewe upo sahihi sana,Big up
kuna walugaluga huwa wanakuja kutulilia hapa,"Oh nimemsomesha mchumba wangu,lakini sasa kaniacha,oh yakapanda yakashuka''.ujinga mtupu,tangu lini mchumba akasomeshwa?

Hakikisha unakatia mimba kabla hauja kasomesha,sawa sawa?
 
Aisee! Nakupongeza sana mkuu kwa mafanikio, yaani kuwa na kazi pia kuweza kujenga. Hakika una akili ya maisha na nina imani utafanikiwa zaidi mbeleni. Lakini nasikitika kwa kuwa na upeo mdogo sana kuhusiana na mapenzi na hasa ndoa na maana yake halisi na si tafsiri tu ya neno ndoa.
Huyo binti ana busara sana. Kwa mtazamo huu, nyie ndio wale wa kila siku kuja jamvini kuwaanika wake zenu mapungufu yao.
Hakuna cha ajabu alichofanya huyo binti mpaka sasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom