Sitosahau nilivyookolewa kwenye msala na Afande wa Kike JKT

Ngareroo

JF-Expert Member
Aug 11, 2019
2,049
2,249
Oooraah inakua nigani Machaliganse na Ma'mamiloonse humu ndichi..?!I hope mko Yechu..

Okay here we go, Ngoja nidane chapcheree kwenye Mada,,Kuna siku bhana tukiwa zetu JKT baada ya kumaliza Form6, tulikua machalii kama wa5 hivi tume'chill chini ya mti tunabofonga story za hapa na pale...

Sasa kunae mjuba mmoko akawa anatupigisha story kwamba et "Ukienda Jeshini unaingia kwenye chumba ndichi alaf unaikuta pisi mle Kali kinyama ipo uchi alaf na wewe inakuamuru uvue nguo zako zote alaf uidekeree,usiposimamisha mkuyenge et ile pisi kali inakuita uisogele alaf inaanza kukushikashika dushe, usiposimamisha na hapo bac inashika dushe lako alaf inachomeka kwenye papuchi yake kidogo2 kichwa cha dushe,,usiposimamisha na hapo bac et wewe unatimuliwa jeshini"...

Bac Mimi nikawaambia kwamba nikifika mle ndani kwanza natoa hisia zote naanza kuwaza misiba, madeni na vitu kaa izo,ili isisimame,akianza kuishikashika pia ivoivo nawaza mambo za huzuni ili isisimame,ila tu akifika stage ya kulichomeka dushe kwenye Papuchi yake,akichomeka2 Mimi nasukuma dushe naanza kumpelekea moto...

Bac niliposema ivo machalii wote wakacheka kwa nguvu kisoro hadi maraia wote wakatutumbulia mboni sisi...

Bac unaambiwa kuna Afande jamaa hivi alikua ana kwere kichizi akatuuliza " Nyie mnacheka nini hapo?,Eeh si nawauliza?wote simama juu",,ikabidi kuna jamaa mmoja akadanganya et "Huyu Msomali kasema kwa alivo na njaa ivi akipewa ndoo kubwa ya vitumbua anamaliza ndomaana tumecheka"...

Afwande hakutaka kutuelewa akasema " Mnanidanganya Mimi?Twende chini Pushup,wala msikunje ngumi shikeni2 chini tanueni viganja ivo, Nikisema Moja mnapiga pushup moja,nikisema mbili mnapiga pushup mbili, hadi nikifika 10 mnapiga kumi,sawa?" Tukaitikia Ndio Afande,,Tulianza kweli moja tukapiga moja,mbili tukapiga mbili,3 tunaenda chini na kurudi juu mala3,,Yaani hadi Jamaa linatamka 10 hapo tushapiga pushups 55 tayari, Na lilisema tupige 50 Dooooh!!...

JKT nilipaona pachungu dingii,Kama zali chaliangu akaja Afwande Wakike anaitwa Doricas katokea Chuga pande za Sekei,Si ananijua muuni ikabidi atuulize "Msomali mnashida gani hapo?" Sikumjibu ila chalii Mmoja anaitwa Kevy ndo akamjibu kuwa tulicheka baada ya Msomali kusema anaweza maliza Ndoo ya vitumbua pekeake" ,Afwande akauliza ni kosa hilo2??" Tukamjibu ndio Aafwandee,,Bac akatuambia Tuondoke....Alhamdullilah nilishukuru kinyama coz ndo ilikua pona yetu...

@NgarenaroBoy.
 
Mkuu...Kama Kweli umesoma nakuelimika..unatakiwa ujue audience yako unayo e address..Sasa Kama huwezi kutofautisha Watu waÀrusha...na the rest of Tanzanians...UTakuwa unashida mahala.

Sijawai maliza kusoma Thread yako.
Hao ndiyo wale wanaojiita Masela wa Matedjo huko Arusha,ni washamba sana,wakija DSM utwashaanga sana, mtu jua Kali lakini chini kapiga Mibuti Kama ya akina John Travolta!!
 
Mkuu ipo ivii..kila mtu hapa ana uniqueness yake,We don't need to sound the same,,Mimi niliamua kutumia Ngareroo slangs coz nililenga audience flani,,,Kama huelewagi threads zangu tambua kuwa sijakulenga wewe,We kama umevaa jezi alaf mchezo huuelewi we ishi humo2,,Sio lazima Uelewe
 
Alaf mbona ni Paragraph ya kwanza2 ndo nimetumia Ngareroo slangs!! The rest ni Kiswahili kinachoeleweka kabisa
 
Mkuu ipo ivii..kila mtu hapa ana uniqueness yake,We don't need to sound the same,,Mimi niliamua kutumia Ngareroo slangs coz nililenga audience flani,,,Kama huelewagi threads zangu tambua kuwa sijakulenga wewe,We kama umevaa jezi alaf mchezo huuelewi we ishi humo2,,Sio lazima Uelewe
Umemaliza bablai... Acha wengine wabweke tu
 
Hao ndiyo wale wanaojiita Masela wa Matedjo huko Arusha,ni washamba sana,wakija DSM utwashaanga sana, mtu jua Kali lakini chini kapiga Mibuti Kama ya akina John Travolta!!
Kwahiyo kuvaa kiatu jua likiwa kali ni ushamba?

Mimi nadhani wewe unaetoa kauli kama hiyo ndio mshamba kwanza una viwu maana huwezi nunua travolta labda ununue viraba midosho ya elfu tano hapo kariakoo.
 
Culture dingii
Sasa Kama ni Culture, ndiyo hata amuangalii uvaaji wenu na hali ya hewa ya mahali husika!? Sasa hiyo Elimu yenu inawasidia nini!? Siku hizi hata Wamasai nao wamestarabika,kuna sehemu wanajua kabisa hapa Lubega no,wanakula vitu vikali!!
 
Back
Top Bottom