The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,250
Wakuu....heshima!!
Ni kayika mazungumzo naye kwa simu asubuhi hii,nimejikuta kwa bahati mbaya nimemuita mpenz wangu jina la ex wangu ambaye naye analifahamu jina hilo,lakini hamfahamu mwenyewe....
amekata simu,na nikimpigia simu hapokei tena,wala text hajibu...lakini ukweli ni kwamba kabla sijampigia kuna dada mmoja niliwahi kufanya nae kazi sehemu ambaye jina lake linafanana na la huyo ex wangu ,alinipigia,tukabishana nae issue flani kwa muda....sasa wakati noangea na mpenzi,ndo nikajikuta unlucky nimelitaja ....
Najutia sana...najua nimemtoa kwenye mood kabisa,mbaya zaidi hataki kupokea simu yangu,nigemuelezea labda angenielewa.....
Naombeni ushauri wenu wakuu!!
TheMagnificient
Update..
Hatimaye kanitafuta na tumeyamaliza,baada ya kumuandikia sms yenye mkwara wa maana!!
Thanks kwenu wote mlionishauri positively...
PA1 SANA WAKUU!!