Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Ninayo moja tu,ile ya kudai madeniValentina we una sauti ngapi za mahaba?
Ninayo moja tu,ile ya kudai madeniValentina we una sauti ngapi za mahaba?
Duuh..We haufai hata kuwa housegirl..Yani kwenye sauti 21 unayo moja tuNinayo moja tu,ile ya kudai madeni
Ha haa sauti yenyewe ilivo na mikwaruzokwaruzo kama mbeba zege hizo 20 nizitoea wapi mie. Moja yanitosha ya kijeshijeshi tenaDuuh..We haufai hata kuwa housegirl..Yani kwenye sauti 21 unayo moja tu
Teh teh..Ila kama ndo hiyo uwa unaitumia kumbembeleza baby wako akatoa mtonyo sio mbayaHa haa sauti yenyewe ilivo na mikwaruzokwaruzo kama mbeba zege hizo 20 nizitoea wapi mie. Moja yanitosha ya kijeshijeshi tena
Shosti siunajua wanaume anataka utumie maneno matamu na laini hata kama hana ataenda kukopa..Aaaahhh jamani huyu mzazi mwenzangu kila ukiomba pesa yeye hana ila kila siku anakunywa sasa leo nimemuandikia message "baba swalehe vip tena leo huna pesa" amenuna wakati jina hilo na wimbo huo unaendana haswaaa na yeye mwenyewe.