Nimemuita baba swalehe amenuna

Nimemuita baba swalehe amenuna

Huenda anakunywa kwa hisani ya watu wa Marekani. Mvumilie tu madili yake yakitiki utafurahi na roho yako mwenyewe...
 
Huna adabu, una dharau tena za kishenzi. Ka hujazaliwa na mwanamke!?
 
inaelekea umekosa heshima na adabu mbele ya mwenzi wako huyu ndio maana huambulii hata senti yake kwa maneno yako hayo yasio na staha hebu jaribu kutumia maneno matamu uone kama atakunyima hicho unacho kitaka
 
Yako mengi sana mijianamke ya aina hiyo
 
Aaaahhh jamani huyu mzazi mwenzangu kila ukiomba pesa yeye hana ila kila siku anakunywa sasa leo nimemuandikia message "baba swalehe vip tena leo huna pesa" amenuna wakati jina hilo na wimbo huo unaendana haswaaa na yeye mwenyewe.
sawa mama Swalehe!
 
hata ningekuwa mimi ningenuna.... Utaniitaje jina hilo
 
Back
Top Bottom