nimemuelewa Ruge 100%

Hivi mtu mwenye akili timamu aliyelelewa kifamilia asiyevuta bangi anaweza akapata muda wa kusikiliza matakataka yaliyoimbwa na wahuni wavuta bangi yanayoitwa anti virus.

wewe ni mbumbumbu sana wewe bangi unaichukuliaje hata bob marley kavuta,hata obama kavuta,hata bush kavuta,osama kavuta hata na hata riz1 bwana ako anavuta.
tuache hayo antivirus haijasikilizwa na mashoga tuu!vp wewe hujaisikia?
hii anti virus ndio iliyowatoa jasho wewe na mabwana zako mkahofia show zenu kwenda chini kimapato nakudharaulika
 
Jamii forum imepoteza hadhi. Mimi ningependa kusikia from jide aseme a to z alichodhulumiwa na hao clouds fm. Mfano aseme alilipa ili nyimbo zake zipigwe harafu hazikupigwa. Hivi clouds inalazimishwa kupiga nyimbo ya msanii? Pia niliuliza zaidi ya mara 3 aliposema clouds wanamfanyia fitina aondolewe kwenye ukumbi anaopiga . Nikauliza je inawezekana kwa mtu mwenye mkataba kisheria akafukuzwa kwenye ukumbi alioulipia si atawashitaki. Kumbuka hakuna biashara rahisi kila biashara ina ushindani. Anasema imeanzishwa band kumkomoa yeye pia hii sijaikubali kwahiyo wasianzishe biashara kwa sababu jide anafanya. Otherwise aweke evidence tuone
 
Jamii forum imepoteza hadhi. Mimi ningependa kusikia from jide aseme a to z alichodhulumiwa na hao clouds fm. Mfano aseme alilipa ili nyimbo zake zipigwe harafu hazikupigwa. Hivi clouds inalazimishwa kupiga nyimbo ya msanii? Pia niliuliza zaidi ya mara 3 aliposema clouds wanamfanyia fitina aondolewe kwenye ukumbi anaopiga . Nikauliza je inawezekana kwa mtu mwenye mkataba kisheria akafukuzwa kwenye ukumbi alioulipia si atawashitaki. Kumbuka hakuna biashara rahisi kila biashara ina ushindani. Anasema imeanzishwa band kumkomoa yeye pia hii sijaikubali kwahiyo wasianzishe biashara kwa sababu jide anafanya. Otherwise aweke evidence tuone


Ukihoji hayo utaitwa kibaraka wa Ruge, utaitwa majina kedekede lakini ukweli hayo maswali hayana majibu
 
hivi wewe unazijua fitna kweli!?umewahi pata mafanikio yoyote makubwa!?..mara ngapi unahisi rafiki zako wanakufanyia mtima nyongo ila unapotezea ndani kwa ndani!!!wewe hujui ruge alivyo!!?cna uhakika kuhusu huyo joh ila pia kwa kibinadam anaweza kuadopt au kuikubali roho mbaya!cmpendi sana jide coz of personal issues but what she is sayin might be true...jamaa wanamkaba tangu benpaul anajitoa kwa show yake...kama mtu unaweza kupima tuu kwa uelewa sasa nani asiejua kuwa ruge anaweza kubana japo kwa siku hizi mambo yanabadilika na itamuwia ngumu kidogo kucontrol kitengo cha fitna sababu jide ka counter attack..kaziba ufa kwanza.nani anabisha jide hana kipaji!?Kwa hiyo ruge na clouds wanataka wakikutoa pia wakunyonye au vp?hakuna cha bure bt ambacho clouds hufanya ni exsesivu unyonjaji!?ndio mapromota wanaoongoza kulipa vibaya wasanii...me cjui kama redio clouds ni nzuri au mbaya ila nnachojua inatumiwa sana kwa personal issues>>>>>
ila na huyu jide nae sasa kwa nini kipindi sugu ana biffu na unyonyaji wa clouds kwa nini hakumsaidia kuwapinga anakuja kubweka sasas hivi!?

Jide huyu huyu mwenye majini mahaba anayofanya nayo mapenzi - anavyoamini hadi kuitangazia dunia. Huyu huyu anayeamini sijui ndoto zinatafsiri gani.... Bila shaka anakwenda kwa waganga kuinua kipaji ndo hiyo sasa anachanganyikiwa na kuanza kutafuta bifu kwa nguvu.
 
Hayo ni mapungufu yake
jide huyu huyu mwenye majini mahaba anayofanya nayo mapenzi - anavyoamini hadi kuitangazia dunia. Huyu huyu anayeamini sijui ndoto zinatafsiri gani.... Bila shaka anakwenda kwa waganga kuinua kipaji ndo hiyo sasa anachanganyikiwa na kuanza kutafuta bifu kwa nguvu.
 
Sugu alitaka kupewa mradi wa malaria na wamarekani . Lakini mwishowe akaonekana hana vigezo coz ule mradi ulikuwa ni mkubwa wa mabilioni sasa kumpa mtu asiye na mbele wala nyuma kisa mwanamuziki. Hana mke hana mtoto. Hana nyumba wala familia. Hata kampuni hana . Wala kundi la music. Na hata angepewa alitegemea clouds hao hao ndio wamtangaze. Wamarekani wanaona sio deal wakatafuta kampuni popular na yenye kundi la music ndio wakaipa clouuds fm na kundi tht. Sasa anaposema alizungukwa je alikuwa na mkataba wa kisheria? Na kama mkataba ulikuwepo. Why asingewashitaki hao wamarekani. Ukishindwa umeshindwa tu . Na kama huwezi huwezi. Na kwa kudhirisha kama wamarekani hawakukosea kumnyima mradi. Ona mwishowe akawachukua wahuni wenzie na kuanza kutukana clouds kuwaita mashoga. Je alipata nini mwishowe ? Kwa nini asingefungua kesi afaidike alipwe fidia. Kwa mwenye akili ataelewa
Jaribu kupunguza pumba,kwani RUGE ana mke? Ana mtoto
 
wote wanaoitetea hiyo radio ni machoko tu...kama jide hana hoja na hao wengine jee? acheni ushabiki wa kuvaa skin jeans za rangi zambalau na njano....wafu fm ni wanyonyaji wa kuu wa wasanii nchini kwetu...

duh! Hapa 2takesha! Kama vp wapige penalt...
 
Jide kapokelewa 'kijiti' kabla hajaamua kukabidhi ndo kilio chooote unachosikia, Clouds hawataki kupiga nyimbo zako tatizo liko wapi?Anawadanganya watu eti tangu 2003 alikuwa anapigwa Vita na Clouds mbona Mumewe na Meneja wake aliendelea kutangaza Clouds kwa zaid ya Miaka kadhaa wakati akijua mkewe na mwanamuziki wake anaandamwa haingii akilini.Waige Ustaarabu wa Kipanya Masoud unaondoka unaendelea na Ishu zako mambo ya ku snich ya kishamba na kizamani!

pumbavu ww umetumwa
 
Wengi humu naona zaidi tumekuwa wa kushabikia kuliko kusaidia, Haijulikani kama wapo wanaotaka kuendelea kumuona Jide jukwaani ama la, Kama muwashabiki wa Jide nini ushauri wenu kwake ili aweze kuendelea kuchanua ?

Kwa upande wake Jide anaweza kuwa anafurahia wanaomuunga mkono kwa michango yao lakini akumbuke binadamu sie ni vinyonga, Ni hao hao ambao humu wanakushabikia ndio hao hao ambao hawatokuwa na habari na wewe pindi utakapopotea kimuziki, Refer kwa kina SAIDA na wengineo..

Kwa kitendo cha Jide kutamani kushirikiana na wasanii wa THT ni ushahidi tosha kuwa anakubali na kuiona thamani ya wasanii hawa, Ni ubishi wa kujilazimisha tu ndio utapinga hili. Sasa swali langu kwenu pamoja na dada Jide..Thamani hii inakuja hivi hivi au inaundwa ? Nawe Jide si umekuwa na jina kubwa kwa sababu uliundwa ? Sasa hiyo THT ni nini ? (sihitaji kujibu hili majibu wote mnayo)....Kinachoelea kimeundwa..Najua wachangiaji humu "tumejaaliwa" hivyo tuwagumu kuona hili.

Ushauri wangu wa Jide ni kwamba bado una nafasi ya kutengeneza mambo, Bifu zisizo na maana hazikujengi bali zitakubomoa. Wewe ni mwanamuziki na kipaji unacho..Wakati mwingine mambo sio rahisi kama unavyofikiri. tafuta ushauri..ongeza ubunifu..Walikupokea vizuri wanainchi na bado nafasi ipo iwapo tu utawapa wanachotaka. Support na ushauri uliowahi kupata nadhani bado unahitajika usidanganywe na watu wachache. Una mengi ya kujifunza kutoka kwa wenzako kama DULLY SYSKES, Bado tunamsikia sio kwa sababu tu aliwahi kuwika siku za nyuma, Bali ni kwa sababu anajitahidi kwenda na wakati (kusoma alama za nyakati). Usifikiri wewe ni special sana kuliko wale ambao leo hii wamepotea mfano Mr Nice, Saida Karoli na wenginewe..Kipaji hakizuiliki...na wala kutofautiana na clouds hakutokuletea tija yoyote. Sanasana kuna mambo yatakukwamisha. Ona kwa mfano umeshindwa kushirikiana na wasanii wa THT kwa sababu tu umetofautiana na menejimenti inayowasimamia...hapa nani amepoteza ? Na kila binadamu ukimpa kalamu na karatasi aandike matatizo yake kitabu kitajaa. Haya yote yataisha iwapo tu utaongeza bidii kwa kile ambacho umejaaliwa, nacho ni kipaji cha MUZIKI. Huna sababu yoyote yakutofautiana na clouds.

Na wale ambao wanaona Ruge anawanyoya wasanii, Swali langu kwao ni hili. Hivi huyo ruge ni taasisi inayojitolea ? Kama ameamua kuwekeza kwenye muziki si lazima awe na makubaliano yatakayomuwezesha yeye na hao wanamuziki wanaendelea kuwepo ? Au tunatamani tuone wasanii wakifanya shows kila kukicha, kupata mikataba tofauti tofauti naye Ruge abaki kama mshika pembe. Then what ? Si tungeishia kumdharau kama tulivyozoea kuzarau wale waliokosa mipango ? Mlitaka abaki kule kwenye smooth vibes huku Jide akiendesha prado ? Then nani angeonekana -----...Kama Jide aliona ananyonywa ni nini tunasema kuhusu kina marehemu Marijani ? Nani asiyejua mchango wa marehemu Marijani Rajabu na maisha aliyokuwa anaishi ? alinufaika vipi na kazi zake, Au naye alihitaji "wanyonyaji kama Ruge ili anufaike ? Ni kipi tunachotaka kuona kwa Jide ili tuone ya kuwa alifaidika na jasho lake ? Tuache kuendeshwa na hisia za kudhani kwamba Jide alistahili kuendesha ndege na sio prado ili tukubali kuwa alifaidi jasho lake ?
 
Hujamuelewa my dia! Ungekua umemuelewa usingeandka ulichoandka meditate dia!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Duh!..

Aisee naona wewe ni miongoni mwa virus mnao ua mziki huu inabidi ujumuishwe kwenye vol 3,huwezi kuukosea mziki huu

kiasi hicho halafu unachangia mada ya kuhusu wanyonyaji wa huu mziki.

Ni wazi mtu ambaye amelelewa kifamilia na havuti bangi hawezi kutoa maneno kama hayo yako ya kihuni kuhusu harakati

hizi za kuscan na kuderete virus wetu kwenye mziki wetu huu.

Dedication song: Malipo ya masnitch - Vinega.



Hivi mtu mwenye akili timamu aliyelelewa kifamilia asiyevuta bangi anaweza akapata muda wa kusikiliza matakataka yaliyoimbwa na wahuni wavuta bangi yanayoitwa anti virus.
 
Sema wewe alichokipata baada kurekodi matusi na anaowaita anti virus..... Kaka empty tiny. Au wanasema mwenye kelele hana neno. Mtu mwenye akili timamu hawezi kupoteza muda kwenda studio kurekodi matusi. Ukiona hivyo ujue hakuna kitu hapo

wewe unasema hakuna kitu ila hao unao wasapoti waliona kitu ndiyo sababu kipindi hiko walihamisha SHOw yao ya fiesta dakika za mwisho kutoka kijitonyama na kupeleka leaders.yes wale jamaa walirekodi matusi, vp kauli za matusi walizokuwa wanazitoa kina Kibonde radioni?
 
Clouds ni redio nzuri kwa burudani mbaya kwa wananchi, hii inatokana na kuwa redio ya propaganda tofauti na hapo hakuna ubaya nao, propaganda ndio iliyoleta haya yote yanayozungumziwa na kina Lady Jaydee nk
 
Yana mwisho hayo

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
[UOTE=kupe;6296613]Who is jay dee katika nchii? Ana elimu gani au kipaji gani? Unaweza ukajibu simple kuwa alikuwa mtangazaji wa clouds je utangazaji alibebwa au alikuwa na vyeti? Nani angemjua jey dee bila clouds? Watu watasema ana kipaji .kama una kipaji means una washabiki . Hivi kama una kipaji utaogopa radio isipopiga nyimbo. Kuna radio ngapi tanzania au duniani . Wakikubania clouds peleka nyimbo yako radio zingine ikibidi hata kenya na uganda. Ruge amesema watanzania muache ubinafsi na mkubali kupokezana vijiti . Wewe unataka usikike wewe tu kwani wewe nani kama vipi fungua radio yako piga nyimbo zako usiku kucha. Au rekodi harafu uza si una washabiki. Au nyingi haisikiki hadi ipigwe clouds . Gadna habash bila clouds angeishia huko mwanza na kumbuka alikuwa mlokole.nani angemjua gadna. Nani angeenda nyumbani lounge kama sio kivuli cha clouds. Jay dee anasema alinyonywa . Hivi utapaje mafanikio bure. Kikwete alisema kula na wewe uliwe. Mpaka alisema kama wewe maarufu basi hama ccm. Clouds ilikuwepo , ipo na itaendelea kuwepo . Walikuwepo watu maarufu kama akina kaka bonda ,masudi kipanya na wengineo wengi je wapo wapi sasa.kama wana vipaji mbona kimya. Clouds ni radio binafsi na inaendeshwa kibinafsi ila inafuata sheria . Kama unaona unaonewa kashitaki . Mbona mnapopata faida kupitia clouds hamsemi[/QUOTE]

haya KUPE NA WEWE TUMEKUELEWA 1000% na huo ukupe ndo unaokuweka mjini so endelea though nina wasiwasi na shughuli zako nyingine ukiachilia mbali huo ukupe huenda unaowaganda wanakugandua pia.
 
Back
Top Bottom