Songambele
JF-Expert Member
- Nov 20, 2007
- 4,726
- 2,607
sijaona chochote kilichofanywa na serikali hii zaidi ya porojo na matangazo kwenye media ni full maigizo na watz ni vipofu wa fikra na wao muda wote wako kwenye media kuangalia leo kuna tangazo gan
Kachukue ankara TRA uone makusanyo yanasomaje ukilinganisha Na mwaka Jana.