Nimemuachia bill mchunaji

Aseee weli hataningekuua mmnngesepa mifuko miwwili ya sumenti 29000

Tena na chenchi kabisa.... Sasa hivi tunazungumzia kukuza kipato binafsi. Hawa wanadhamiria kukwamisha shughuli za kimaendeleo.
 

Huu sasa ndo ustaraab!
 

......swadakta!, except for the 'B' word,......lol!
And there's no issue with waalikwa, the issue is with mualikaji, kistaarabu angemwambia jamaa mapema kama anaenda na mtu so that he knows what to expect, au kama unavosema, angekaa mkao wa kuchunwa......lol!
 
Kutoroka sio rahisi na wala sio ubinadamu. The point hapa ni kama ni date basi ijulikane, kama ni outing basi ijulikane..! Swala la nani analipa, kwa wadada walio wengi ni la mwanaume...!

Tis deserves a cake!,.......ingekuwa outing sawa but a date?!,....first date to be exact!
Kwanza navoelewa mimi on the first date you don't even have a meal, zaidi ya drinks and maybe something light (kama una njaa sana) sa mtu anakula jogoo mzigo mzimaa!
Mkuu nijuze, naona kibongo bongo you can have a feast!, on the first date, that's an advantage though......lol!
 
Hahhaha nmechekaje umenikumbusha mashostito wangu wa dom walivyo shushuliwa kwa kuagiza mikuku na bi pombe ya hatariiii maeneo ya double H....huhuuu..jamii forum never boring!!!!

Kama napaona double H mi na shost yangu tushawahi kukimbiwa ila tukaja kumkamata maisha club na binamu yake ilibidi rafiki yangu avunje mkataba maana alishazoea kumtapeli rafiki yangu
 

Hii naiona hapa hata mimi, first date and a 'lady' eats a full chicken..damn!! Kama ulivyosema, mostly drinks and maybe light food or bites ndo inatakiwa katika date ya kwanza.
kui let's have a date please, utakula kuku mzima na Heineken..lol
 
Last edited by a moderator:
Hii naiona hapa hata mimi, first date and a 'lady' eats a full chicken..damn!! Kama ulivyosema, mostly drinks and maybe light food or bites ndo inatakiwa katika date ya kwanza.
kui let's have a date please, utakula kuku mzima na Heineken..lol

Heee....kumbe ndo huwaga mnatuchora hivi lol
 
Last edited by a moderator:
Hii naiona hapa hata mimi, first date and a 'lady' eats a full chicken..damn!! Kama ulivyosema, mostly drinks and maybe light food or bites ndo inatakiwa katika date ya kwanza.
kui let's have a date please, utakula kuku mzima na Heineken..lol

Hahaaaa!, jogoo mzimaa na bia juu Damn!, ukimaliza hapo umeshiba ndii!, hata maongezi yatafanyika kweli jamani mtu si unasinzia na hiyo shibe?!, hafu mkitukimbia tunaanzisha kesi. First date is to get to know each other, KWANZA!

First impression matters, sasa first impression unaonyesha ME unaweza maliza THE WHOLE CHICKEN!, Peke yake, hata mimi ningekuwa ME asee, it don't look good for a lady!
Don't worry about a date with me, I'll make sure nimejishindilia Ugali kabsaa!, so that you don't have to worry about me ordering THE WHOLE MBUZI....lol!
A glass of wine or two will do for me!
 
Last edited by a moderator:
Kama napaona double H mi na shost yangu tushawahi kukimbiwa ila tukaja kumkamata maisha club na binamu yake ilibidi rafiki yangu avunje mkataba maana alishazoea kumtapeli rafiki yangu

Ulisoma dom nn my????
 
ni Tsh 29,000/= ama $29,000/=

Mimi nimemuelewa vizuri....tatizo halikuwa kiasi cha fedha,bali tatizo lilikuwa ni tabia hiyo ya kishamba,unapanga "appointment" na mtu bila ya kumpa taarifa unamchukuwa rafiki yako na kumuongezea mtu" bill" ambazo hajajiandaa kuzilipa...mi nilishawahi kukutana na mtu wa hivyo mara ya kwanza nililipa nukahisi labda ilikuwa bahati mbaya,mara ya pili nikalipa...mara ya tatu nililipa ila baadae nikamuelimisha kwamba si jambo jema kufanya hivyo...hata hivyo hakuacha na aliendelea na vitabia flani vya kiswahili ...nikamwaga...wonderful enough ni mwanafunzi wa chuo(higher learning institution)...mtu msomi ila anakuwa na vitabiatabia vya kijinga..
 
Hii kitu ya mademu kuzuka eneo la tukio na mashosti zake inakera sana. Ni kama kukomoana vile. Wengine hata hawajitambui....wanadhani labda ni sifa kuwaleta rafiki zao wale na kunywa ili kumuona yeye kapata bwana wa maana. Ujinga mtupu.

WEngine labda aibu kuja peke yao sehemu kama hizo. Ukipanga kukutana na mtu ujipange!
 
Unasumbuliwa na UKATA tu ndugu yako, TZS 29,000.00 sio hela nyingi kutumia kwa siku moja. Kumbuka starehe ni gharama
 
Unasumbuliwa na UKATA tu ndugu yako, TZS 29,000.00 sio hela nyingi kutumia kwa siku moja. Kumbuka starehe ni gharama

Mmmh amefanya kosa kukimbia kwasababu ya Tsh 29,000/= lakini hilo alifanyi kusema hiyo ni hela ndogo..hii kwa asilimia 70 ya population ya Tanzania ni hela nyingi kwa mkupuo mmoja!

Wanasema zaidi 70%ya watanzania wanaishi chini ya dollah moja lakini let say hizo ni data za uongo tufanye wengi wanaishi kwa 3000 kwa siku
3000 ×30(siku) =90,000/=

Kwa hiyo hapo utagundua anayetumia 30000 kwa siku ametumia pesa nyingi tukilinganisha na hali ya uchumi ya watanzania walio wengi!

Hata tukisema abebe zege tuchukulie kwa siku analipwa 10,000/= kwa hiyo akienda akatumia 30,000 kwa mkupuo ujue hapo katumia pesa ya siku tatu na hapo habaki na akiba wala nauli!
Kwa hiyo mtanzania yeyote anayesema 29,000 ~30,000 pengine hajaishi nchini kwa muda mrefu na huwa hafatilii taarifa na takwimu za uchumi na kipato cha watanzania walio wengi!

Hii pesa si ndogo hila si pesa ya kumfanya mtu awakimbie watu ikiwa anapenda starehe!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…