Nimemuacha rasmi leo!

Hongera kwa kumpga chini...mie nakushaur uwe na mibaba yote mitatu,si unajua ukiwapanga vzuri kila mtu atacheza nafasi yake,bibie usijal maneno ya watokwa povu.vunja mifupo kama meno ipo umukagame
 
Wanajf mnakoseaga sana videmu vyenye nyege kama huyu umukagame muwe mnaniletea tu nivifirimbe mpaka kichwa ikae sawa.Hamtaona tena kuwashwawashwa kama huku.
 
Last edited by a moderator:

Mungu akaandika kwa chanda chake USIZINI! Acha ili na wewe akupe wako.
 

una leseni ya u dereva?
 
ulizaliwa bahati mbaya unaishi kwa makusudi pole sana, endelea kuwa kiburudisho, bahati yako nishasilimu sikuhizi nimeacha kula nyamafu
 
Kwa hiyo hapa tatizo siyo kumpata mtu, ila tatizo ni kumpata mwenye hela? Duu.. Nmeamini kweli ukiwa na hela lazima upate mke feki. Ngoja nitafute mke ningali masikini.
 
Hao wababa unaowatamani nao si wana familia zao

Kama umemuacha "mkaka mwenye hela zake" ili akaoe awe na familia yake na hao wababa pia waache wana familia zao... Logical reasoning


In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
mtaacha sana kizazi cha sasa wanaume wamestaafu kuonga mademu kila mwanaume anasaka malengo
 
Mnanichanganya tu apa aaaagggr

By the way me thread zako nasomaga just for fun. Nichekee siku ziongezeke tu bhaas maana hazinaga hata maama eti. Feki wapo wengi hum lkn we bab kubwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…