Nimemuacha kwa sababu hataki kunizalia

Nimemuacha kwa sababu hataki kunizalia

Holoholo-Baba Kijacho

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
6,798
Reaction score
13,966
Wakuu,
Kuna vitu/mambo yanaudhi kwa kweli,
Iko hivi,kuna binti ni mzuri tu tumeingia nae ktk mahusiano miezi miwili iliyopita,

Kabla ya mahusiano nilimweleza kuwa lengo la mahusiano yangu kwake ni anizalie tu,kweli binti alikubali na nilifurahi sana.

Yule binti nimelala nae mara mbili na kulala nae huko mara mbili ndiko kumenifanya nimuache rasmi jana.

Iko hivi,mara ya kwanza nilipolala nae baada ya kumaliza(kumwagia ndani),alinyanyuka na kuelekea chooni,huko chooni alianza kama kujichua ili mbegu zile zitoke asishike mimba,niligundua hilo kwa vile nilimfuata kwa siri.

Siku ya pili vilevile nilipo mwagia ndani papo hapo akachuchumaa mbegu zikachuruzika zikatoka,

Nikamweleza ukweli kuwa akumbuke mwanzo wa mahusiano yetu nilimweleza lengo la mahusiano yetu ni nini lakini anaonyesha hana nia hiyo ya kushika ujauzito.

Sio kwamba huwa namlazimisha kulala nae la hasha ni yeye huwa ananiita niende kwake kwa ajiri ya sex cc Nomadix Mallerina SweetyCandy Nusratt Nyamwi255 secretarybird Binti Sayunii

Nimemuacha.
#NO REFORM NO ELECTION.
 
Kama hata kugonga unaenda kugongea kwake(means Huna pa kumpeleka)basi binti ana haki ya kukataa kukuzalia
 
Wakuu,
Kuna vitu/mambo yanaudhi kwa kweli,
Iko hivi,kuna binti ni mzuri tu tumeingia nae ktk mahusiano miezi miwili iliyopita,

Kabla ya mahusiano nilimweleza kuwa lengo la mahusiano yangu kwake ni anizalie tu,kweli binti alikubali na nilifurahi sana.

Yule binti nimelala nae mara mbili na kulala nae huko mara mbili ndiko kumenifanya nimuache rasmi jana.

Iko hivi,mara ya kwanza nilipolala nae baada ya kumaliza(kumwagia ndani),alinyanyuka na kuelekea chooni,huko chooni alianza kama kujichua ili mbegu zile zitoke asishike mimba,niligundua hilo kwa vile nilimfuata kwa siri.

Siku ya pili vilevile nilipo mwagia ndani papo hapo akachuchumaa mbegu zikachuruzika zikatoka,

Nikamweleza ukweli kuwa akumbuke mwanzo wa mahusiano yetu nilimweleza lengo la mahusiano yetu ni nini lakini anaonyesha hana nia hiyo ya kushika ujauzito.

Sio kwamba huwa namlazimisha kulala nae la hasha ni yeye huwa ananiita niende kwake kwa ajiri ya sex

Nimemuacha.
#NO REFORM NO ELECTION.
Wewe hauna akili na mwanamke mwenye akili hawezi kuzaa na mwanaume asiyejitambua kama wewe.

Unataka kutumia tumbo lake la uzazi kwa ajili ya manufaa yako tu ya kupata mtoto na siyo kwa ustawi ya maisha yake ya baadae. Akishakuzalia wewe unataka aende wapi?
 
Kwanini unahitaji kuzaa mkuu, nimeona kama lengo ni akuzalie mtoto wa kike ili ujipatie ng'ombe wako 50 basi utakuwepo umefeli parefu sana.

Kaa fikiria ujue kwanza ni kwanini unataka ulete mtoto, ama unaleta mtoto na falsafa ipi nadhani angekudhalia tu huyo mwanamke.

Anyway, Upone.
 
Wewe hauna akili na mwanamke mwenye akili hawezi kuzaa na mwanaume asiyejitambua kama wewe.

Unataka kutumia tumbo lake la uzazi kwa ajili ya manufaa yako tu ya kupata mtoto na siyo kwa ustawi ya maisha yake ya baadae. Akishakuzalia wewe unataka aende wapi?
aende nanjilinji akalime magimbi.
 
Back
Top Bottom