Nimemuacha kwa sababu hataki kunizalia

Nimemuacha kwa sababu hataki kunizalia

Wakuu,
Kuna vitu/mambo yanaudhi kwa kweli,
Iko hivi,kuna binti ni mzuri tu tumeingia nae ktk mahusiano miezi miwili iliyopita,

Kabla ya mahusiano nilimweleza kuwa lengo la mahusiano yangu kwake ni anizalie tu,kweli binti alikubali na nilifurahi sana.

Yule binti nimelala nae mara mbili na kulala nae huko mara mbili ndiko kumenifanya nimuache rasmi jana.

Iko hivi,mara ya kwanza nilipolala nae baada ya kumaliza(kumwagia ndani),alinyanyuka na kuelekea chooni,huko chooni alianza kama kujichua ili mbegu zile zitoke asishike mimba,niligundua hilo kwa vile nilimfuata kwa siri.

Siku ya pili vilevile nilipo mwagia ndani papo hapo akachuchumaa mbegu zikachuruzika zikatoka,

Nikamweleza ukweli kuwa akumbuke mwanzo wa mahusiano yetu nilimweleza lengo la mahusiano yetu ni nini lakini anaonyesha hana nia hiyo ya kushika ujauzito.

Sio kwamba huwa namlazimisha kulala nae la hasha ni yeye huwa ananiita niende kwake kwa ajiri ya sex cc Nomadix Mallerina SweetyCandy Nusratt Nyamwi255 secretarybird Binti Sayunii

Nimemuacha.
#NO REFORM NO ELECTION.
Chai
 
Mwanamke mwerevu huzaa na mwanaume aliye tayari kuwa baba na mzazi.

Ni sayansi ya wapi hiyo inayosema mwanamke akienda kuchutama na mbegu kutoka amejiepusha na kupata mimba?
 
Wakuu,
Kuna vitu/mambo yanaudhi kwa kweli,
Iko hivi,kuna binti ni mzuri tu tumeingia nae ktk mahusiano miezi miwili iliyopita,

Kabla ya mahusiano nilimweleza kuwa lengo la mahusiano yangu kwake ni anizalie tu,kweli binti alikubali na nilifurahi sana.

Yule binti nimelala nae mara mbili na kulala nae huko mara mbili ndiko kumenifanya nimuache rasmi jana.

Iko hivi,mara ya kwanza nilipolala nae baada ya kumaliza(kumwagia ndani),alinyanyuka na kuelekea chooni,huko chooni alianza kama kujichua ili mbegu zile zitoke asishike mimba,niligundua hilo kwa vile nilimfuata kwa siri.

Siku ya pili vilevile nilipo mwagia ndani papo hapo akachuchumaa mbegu zikachuruzika zikatoka,

Nikamweleza ukweli kuwa akumbuke mwanzo wa mahusiano yetu nilimweleza lengo la mahusiano yetu ni nini lakini anaonyesha hana nia hiyo ya kushika ujauzito.

Sio kwamba huwa namlazimisha kulala nae la hasha ni yeye huwa ananiita niende kwake kwa ajiri ya sex cc Nomadix Mallerina SweetyCandy Nusratt Nyamwi255 secretarybird Binti Sayunii

Nimemuacha.
#NO REFORM NO ELECTION.

Hahaha nzaingatia hashtag yako zaidi ya mengineyo!😅
 
Kama unaamini mimba inazuiwa hivyo basi una tatizo kubwa zaidi.
 
Back
Top Bottom