Habari za siku wapendwa.
Nilikuwa na mpenzi wangu ambaye kwao wananitambua na michakato ya kutoa mahali nilishaianza kwa maana ya kishika uchumba ,kiasi kwamba wazazi wake walinikabidhi kuishi nae.
Nimekaa nae kwa muda wa miezi 3,katika kipindi hcho tumeishi kwenye ugomvi mwingi wa mambo mengi, ila kubwa kuhusu yeye kuwasiliana na x wake akidai mbona ww unawasiliana na wazazi wenzako kwa maana kabla ya kumuoa yy nilikuwa nimezaa na wanawake wawil kabla.
Nilimkata asiwasiliane,amfanye x wake ashindwe kumtafuta nilishindwa , usiku uo, aliniambia naweza mrudisha nyumbani nikamjibu sawa ,asubuh ilipofika nikamuona yuko bize anafanya usafi na kupika,nikamuuliza nikurudishe nyumban akajibu ndio,basi nikaitisha usafiri ili umbebe yy na vitu vyake.
Sasa iv ananiambia turudiane mana siku ile hakuwa na nia ya kurudi nyumban,nakuniambia ninakurupuka sana nilimjibu sikupenda kauli yake aliyokuwa akitoa mara kwa mara ya nirudishe nyumban.
Sasa nimeamua nimrudishe nyumbani mana nimegundua huwa anafanya ma x zake kama marafik zake nimemfuatilia ata sasa iv anawasiliana na ma x zake ,kipindi kile alikuwa 1 ila sasa kawarudisha wote,ingawa mawsiliano yao kwamba x wake wanamwitaji kimapenz ila yy kawafanya kama marafk.
Kumrudisha nyumbani wazazi wake hawataki ,na wazazi wake ndo wanaompa jeuri mana wanakiuwezo .Naomba ushauri wenu.
Ww muoaji ? au mnusa mto?Habari za siku wapendwa.

Katika wanawake wawili niliowazalisha mwanzo hata kwa wazazi wao kilujitambulisha sikufanya ,ila uyu nilitoa 1 milion kushika uchumba,na angekuwa poa mwaka huu ningetoa mahali.Ww muoaji ? au mnusa mto?
Kabisaaaaaaaaa ndg yng nakuunga mkonoHao wazazi gani wanatoa mtoto kwa kishika UCHUMBA[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
MAZWAZWA
Ujinga huo.Habari za siku wapendwa.
Nilikuwa na mpenzi wangu ambaye kwao wananitambua na michakato ya kutoa mahali nilishaianza kwa maana ya kishika uchumba ,kiasi kwamba wazazi wake walinikabidhi kuishi nae.
Nimekaa nae kwa muda wa miezi 3,katika kipindi hcho tumeishi kwenye ugomvi mwingi wa mambo mengi, ila kubwa kuhusu yeye kuwasiliana na x wake akidai mbona ww unawasiliana na wazazi wenzako kwa maana kabla ya kumuoa yy nilikuwa nimezaa na wanawake wawil kabla.
Nilimkata asiwasiliane,amfanye x wake ashindwe kumtafuta nilishindwa , usiku uo, aliniambia naweza mrudisha nyumbani nikamjibu sawa ,asubuh ilipofika nikamuona yuko bize anafanya usafi na kupika,nikamuuliza nikurudishe nyumban akajibu ndio,basi nikaitisha usafiri ili umbebe yy na vitu vyake.
Sasa iv ananiambia turudiane mana siku ile hakuwa na nia ya kurudi nyumban,nakuniambia ninakurupuka sana nilimjibu sikupenda kauli yake aliyokuwa akitoa mara kwa mara ya nirudishe nyumban.
Sasa nimeamua nimrudishe nyumbani mana nimegundua huwa anafanya ma x zake kama marafik zake nimemfuatilia ata sasa iv anawasiliana na ma x zake ,kipindi kile alikuwa 1 ila sasa kawarudisha wote,ingawa mawsiliano yao kwamba x wake wanamwitaji kimapenz ila yy kawafanya kama marafk.
Kumrudisha nyumbani wazazi wake hawataki ,na wazazi wake ndo wanaompa jeuri mana wanakiuwezo .Naomba ushauri wenu.
Haya ndio matatizo ya ndoa za utotoni. Mnaoana bila kujua lengo la kuishi pamoja ni lipiKama hawataki umrudishe achana nae.wazazi wameweka ngumu kwasababu hawakufurahishwa na maamuzi ya mwanzo kumrudisha mtoto wao kwao.
Wanaona unayumba katika kujisimamia kutatua changamoto ndogo ndogo za hapa na pale.
Ilikuwa vyema kama kuna jambo hamuelewani mngemuita mshenga aliyepeleka kishika uchumba awasuluhishe mkiwa kwenu bila wazazi wake kujua.
Kitendo cha kumrudisha kwao kilitakiwa kiwe cha mwisho,na kwakuwa umeshamrudisha kwao maana yake tayari mmefika mwisho.
Wazazi wake wapo sahihi, labda kama unataka arudi mchukue mshenga mwende mkaweke mambo sawa .wakikataa basi uchumba uvunjwe rasmi,kila mtu afanye yake.
We mwenyewe double fadher umezaa watoto wawili kwa wanawake wawili na hukuwaoa,au uliwaoa mkaachana, nawewe ipo shida mahali..
Umeona icho kitu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna haja ya watu kufundishwa matumizi ya L na r
Nimeona icho tu.
Kwamba mwanamke anatakiwa kuolewa na bikra, bila bikra ni sawa na kulima shamba la miwa pembezoni mwa shule.ya kwamba ukimwelewa mwanamke basi ujue umekaribia kufaaa,naona kama wanauupuuza hvi
Mbona yeye ana mawasiliano na wanawake wawili aliozaa nao watoto...
Kuna vitu huwezi kuzuia,labda mwanamke aamue mwenyewe kuacha kuwasiliana na x.
Ndio maana Jokajeusi anashauri kuoa bikra kuepuka yote haya
upo vizuri ila isijekuwa ni huku tu Jf [emoji3]Aiseee... mwanamke amekosa busara..Ex unawasiliana nae Nini..Jamani
.Yaaani Mimi huwa nawashangaa eti tuliachana kwa AMANI..SAWA....sasa mnawasiliana Kitu GANI...?
Ptuuu.....SITAKI KABISA..
Huyu muache TU Kwanza UNASHINDANA VIPI NA Mwanaume...like how?
Unapoteza muda wako bule..hatuwezi kukwerewa...rabda kama we ni mwarimu ...kalibu kwetu lafikiKuna haja ya watu kufundishwa matumizi ya L na r
Nimeona icho tu.
Aisee, huu mwandiko.😠😠Unapoteza muda wako bule..hatuwezi kukwerewa...rabda kama we ni mwarimu ...kalibu kwetu lafiki
waigizaji wazuri sana Jf, hali halisi ni kama uyo wa mtoa madaupo vizuri ila isijekuwa ni huku tu Jf [emoji3]