Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,338
- 56,039
Nipo hapa napata kahawa nzito na kashata huku nikimsubiri mgeni wangu, aliyeomba nimtumie nauli tangu jana.
Ndani hakukaliki kabisa, nikikaa kwenye kiti najikuta nataka kusimama, mara nitoke nje nichungulie n.k Ama kweli, mahusiano yanaweza kumfanya mtu kuwa kichaa.