Unatuma hela kwa mademu alafu baadae unalalamika vyuma vimekaza??Kuna mwanamke nampenda jamani mpaka kula nashindwa,alafu yeye ndo hana ata time na mimi.Nampenda Balaa nimemueleza hisia zangu kanipiga kalenda,sasa leo asubui nimemtumia hela M-Pesa ya full tank mafuta lakini kairudisha.Hapa nilipo naona mapigo ya moyo yamebadilika.
Labda alijua unataka kuazima gari.!!!kama m-pesa kagoma!!mtumie kwa tgo pesa na akigoma...!mtumie airtel money na akigoma tena...mtumie halopesa na hapo akigoma mpe mkononi na akigoma tena "mmwagie tindikali".Kuna mwanamke nampenda jamani mpaka kula nashindwa,alafu yeye ndo hana ata time na mimi.Nampenda Balaa nimemueleza hisia zangu kanipiga kalenda,sasa leo asubui nimemtumia hela M-Pesa ya full tank mafuta lakini kairudisha.Hapa nilipo naona mapigo ya moyo yamebadilika.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna mwanamke nampenda jamani mpaka kula nashindwa,alafu yeye ndo hana ata time na mimi.Nampenda Balaa nimemueleza hisia zangu kanipiga kalenda,sasa leo asubui nimemtumia hela M-Pesa ya full tank mafuta lakini kairudisha.Hapa nilipo naona mapigo ya moyo yamebadilika.
Ss we km ulimtumia buku 2 lazima akurudishie, hiyo ni dharau umemdharau sana. Hebu fanya kumtumia kilo 5 tuone km atarudisha au vp then utuletee mrejesho hapa hapaKuna mwanamke nampenda jamani mpaka kula nashindwa,alafu yeye ndo hana ata time na mimi.Nampenda Balaa nimemueleza hisia zangu kanipiga kalenda,sasa leo asubui nimemtumia hela M-Pesa ya full tank mafuta lakini kairudisha.Hapa nilipo naona mapigo ya moyo yamebadilika.
teh teh pole bro huna chako hapo... bora kakujulisha hilo mapema!!Kuna mwanamke nampenda jamani mpaka kula nashindwa,alafu yeye ndo hana ata time na mimi.Nampenda Balaa nimemueleza hisia zangu kanipiga kalenda,sasa leo asubui nimemtumia hela M-Pesa ya full tank mafuta lakini kairudisha.Hapa nilipo naona mapigo ya moyo yamebadilika.
[emoji15] [emoji15] kumbe mtu mwenyewe mtoto wa mama unasubir utumiwe Na mama ndo umtumie huyo mdada bora alivorudishaNdo zinatoka kwao tena nizirudishe si wataniona nimewehuka.