Jibu sahihi kabisaaa,Mtumie mama yako hiyo hela
Huna hata ndugu yako mwenye uhitaji ukampa hyo helaNdo zinatoka kwao tena nizirudishe si wataniona nimewehuka.
Broo huyo mwanamke achana nae.... Huyo si mtu... Atakuwa ni malaika.... Sasa we pambana kama hujaambulia laana...Kuna mwanamke nampenda jamani mpaka kula nashindwa,alafu yeye ndo hana ata time na mimi.Nampenda Balaa nimemueleza hisia zangu kanipiga kalenda,sasa leo asubui nimemtumia hela M-Pesa ya full tank mafuta lakini kairudisha.Hapa nilipo naona mapigo ya moyo yamebadilika.