nimemtongoza bwana wangu bila kujua

nimemtongoza bwana wangu bila kujua

jane_000

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2012
Posts
547
Reaction score
43
mambo ya mitandano nimemtongoza bwana wangu bila kujua alibadilisha jina na kuweka picha fake tulipo meet ndio namuona bwana wangu live
 
Duh!Kaazi kweli kweli,vp ameendelea kuwa bwana ako?
 
Hapo mtakuwa mmejuana vizuri tabia zenu
 
Utoto mtupu. Ukivunja ungo utaacha huu utoto
 
Dah kati ya vitu nimekataa kuelewa ni mwanamke kumtongoza mwanaume loh,pamoja na beijing na mengne mi sielewi hata,halafu hapa nazidi kushangaa eti mdada anatongoza kwenye internet na wanapanga kabisaaa kukutana,Lord have mercy ha ha!
 
dah,napenda mademu ka wew ,nakupm unitongoze nione mistari yako mdada
 
mambo ya mitandano nimemtongoza bwana wangu bila kujua alibadilisha jina na kuweka picha fake tulipo meet ndio namuona bwana wangu live
Mi bana sijui nikoje, kila siku naufananisha mwandiko wako na wa mpoleeee!
 
kumbe siku hizi bado kuna kutongoza
 
Back
Top Bottom